ndo mujuwe sasa hvi mumekalia kuti kavu ๐๐๐๐ naskia uhuru anaomba asilipe madeni huu mwakaNaona hata economics kumbe hata heri mimi, yani hujui pesa inacheza wewe..
Kabla ya hta hzo wiki tatu tayari february ilikuwa ishawai hit 23...
So we jikanganye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
1600km sq vs 696km sq ๐๐๐๐ una kazi ya miaka 100Sasa tukiweka kwa square kilometers ndio utakimbia toka kwa hii forum....yani dar bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
tulinunua zibebe abiria tena cash deal vp kwenu zile ndege tatu chakavu munazomiliki ziko wapi๐๐๐ loss ya mwaka huu ya kq itakua yakiduniaI think ingewasha ATCL more than KQ, mlinunua Dreamliner za kupark kwa airport?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna vibali kwenda Europe tungekuwa navyo kama KQ ungejua nn serikali ya JPM ingefanya kama cargo trucks hazizuiwi ingekuwa cargo flights?I think ingewasha ATCL more than KQ, mlinunua Dreamliner za kupark kwa airport?
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi furaha yetu ni kuona ile impact ya uchumi wenu inaporomoka na thaman ya pesa yenu inaporomoka ndio maana ya adui mwombee njaa๐๐๐๐๐Naona hata economics kumbe hata heri mimi, yani hujui pesa inacheza wewe..
Kabla ya hta hzo wiki tatu tayari february ilikuwa ishawai hit 23...
So we jikanganye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
labda uchumi wa kuhesabu mandazi ndio unajua๐๐๐๐๐๐Naona hata economics kumbe hata heri mimi, yani hujui pesa inacheza wewe..
Kabla ya hta hzo wiki tatu tayari february ilikuwa ishawai hit 23...
So we jikanganye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelimika eh? Leta tuoneSasa tukiweka kwa square kilometers ndio utakimbia toka kwa hii forum....yani dar bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐ mzee wa CBD nne huyoUmeelimika eh? Leta tuone
๐ Na uhuru keshapata excuse ya uchumi kushuka "CORONAVIRUS" maana kama alifikia kiasi cha kukopa ili alipe deni si mchezosisi furaha yetu ni kuona ile impact ya uchumi wenu inaporomoka na thaman ya pesa yenu inaporomoka ndio maana ya adui mwombee njaa๐๐๐๐๐
huu mwaka kazi wanayo tulieni muone tu๐๐๐ Na uhuru keshapata excuse ya uchumi kushuka "CORONAVIRUS" maana kama alifikia kiasi cha kukopa ili alipe deni si mchezo
ilete mkuumpe na ya leo mkuu, kwangu naona imeshuka zaid
LOL 40 km kwa tinny and slummy Nairobi tayari upo kwenye County nyingine maporini๐ ๐ ๐