Mchanganyiko wa mansions na uswazi si ndio mambo ya dar yaleushahidi ndio huo,unataka ushahidi gani!wewe ulipoleta ile ukidai ni dar ulikua na ushahidi gani kama pale ni dar?
Hahaaaa!!kuna mwenzakonmwezi jana kaleta km wewe hvo ilikuwa 20..Taratibu dafu linaanza kurudisha heshima yake [emoji116][emoji116]View attachment 1425226View attachment 1425227
Masjid Maamur (Upanga)the beautiful mosque in east and central africa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1425148View attachment 1425145View attachment 1425146View attachment 1425147View attachment 1425149
Upande wa kulia naona zile ghorofa za low quality za uyoga 😂😂😂Thika hii 😂 🔥😍
View attachment 1425172
Don't you know the difference between your estates and ours? 👇👇estate zenu hazina hadhi hii nyingi ni kama hostels 😂😂😂#MikocheniSielewangi kwa nn hawa jamaa hujaribu kulinganisha Nairobi na hivyo vijiji vyao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice stuffMombasa is slowly reclaiming its place as the King of East Coast
View attachment 1424995
View attachment 1424999
Na ulisema utakuwa ukifatilia, ss leo tumeweka mpya na bado dafu linazidi kupanda, na nakwambia tuombe uzima tu ila hii miradi ikiisha salama na ikifanya vile ilivyokusudiwa bac kshs iandike imeumia.
Wakenya acheni kujisumbua, kwenye hii sekta ya utalii hatupaswi hata kujisumbua ku battle na nyie cz tupo kwenye ulimwengu wa pekee etu ktk dunia hii kuhusu vivutio vya utalii duniani.
Kenya always so diversified when it comes to tourism,,lia kabisaWakenya acheni kujisumbua, kwenye hii sekta ya utalii hatupaswi hata kujisumbua ku battle na nyie cz tupo kwenye ulimwengu wa pekee etu ktk dunia hii kuhusu vivutio vya utalii duniani.
Ngoja nikufunge mdomo ila ukiongea tena I am going to show you what does Tanzania stand for, though I know you know[emoji116][emoji116]Kenya always so diversified when it comes to tourism,,lia kabisa