Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unaijua Tanzania kuliko viongozi wa serikali?
 
Na ndicho kitu huwa najisemea moyoni asante sana mkuu leo umenisemea, yn kuna maeneo kibao ya kushangaza na estate kibao nazijua ila hazijawahi kupostiwa hapa wao washamaliza ila naamini cku zinavyosonga wataelewa tu Dar maana yake nini
Sehemu kibao sana mkuu hazijapostiwa humu.
 
Naona nshawafukuza na saizi wameenda kugoogle kuona kweli auu [emoji3][emoji3] hawa jamaa ni wajinga mno yn cku wakiujua ukweli kwamba hawatuwezi hata kidogo kwenye sekta zote watalia sn, ila kwa ss wameshaanza kuujua ukweli kdg kdg
Sasa hivi wanajifanya vichwa ngumu 😂😂😂
 
Simple definition of Kenyan [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Attachments

  • tapatalk_1587067196962.jpeg
    63.8 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…