Jomba nimekuonjesha tu, lkn siwezi engage mjadala wa club..especially mombasa na kijiji sehemu flani hkomumeona club ya mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii ni club ndogo sana arusha[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1421978View attachment 1421979View attachment 1421980View attachment 1421981View attachment 1421982View attachment 1421983View attachment 1421984View attachment 1421985View attachment 1421986View attachment 1421987View attachment 1421988View attachment 1421989
uhehehe umeshachungulia moto tayar😂👇Jomba nimekuonjesha tu, lkn siwezi engage mjadala wa club..especially mombasa na kijiji sehemu flani hko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla uulize ya jirani, umejiuliza yenu imepata faida ya Shilingi ngapi?bado ya majirani sasa dunia itageuka😂😂😂
Kwani kuonekana kwa milima ni tatizo kwakoSasa si mkubali tu km milima yote miwili inaonekana vizuri kutoka nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoa hasira na picha za 90s 😂 😂 😂
afadhal yetu ndege zinamilikiwa asilimia 100 nyinyi munamiliki ndege 3 out of 40 munategemea nn😂😂😂😂😂 dunia itapinduka mwaka huuKabla uulize ya jirani, umejiuliza yenu imepata faida ya Shilingi ngapi?
ohhh kumbe za 90s mwambie ndugu yako atafute za 2020 za dar😂😂😂Unatoa hasira na picha za 90s 😂 😂 😂
Where is Westlands in that photo?
Eti stendi 😂 😂 😂 😂Mbna unakwepa swali,
Narudia tena, waiting lounge ya hyo stendi iko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza kuhusu faida, sio umiliki.afadhal yetu ndege zinamilikiwa asilimia 100 nyinyi munamiliki ndege 3 out of 40 munategemea nn😂😂😂😂😂 dunia itapinduka mwaka huu
[emoji3][emoji3][emoji3] duuhh old versionHahaaa!!utateseka sana, mbna unaogopa kuleta picha za club wala sio watu wanakatika..
Kula hyo kwanzaView attachment 1421975
Sent using Jamii Forums mobile app
so umiliki hauna maana kwenu sindio maana loss haitaisha kq mpaka yesu ashuke😂😂😂Nimekuuliza kuhusu faida, sio umiliki.
[emoji3][emoji3][emoji3]uhehehe umeshachungulia moto tayar[emoji23][emoji116]
View attachment 1421993
kashachemka kachungulia kaona moto katoa uso haraka😂😂👇👇👇[emoji3][emoji3][emoji3] duuhh old version
Some vizuri nimeelezea yote hayo.Kwhyo kutishia kufutia watu leseni ndio ushindani sio...
Ni sawa pia
Kwani nani kasema hawaendi kisa mkulima?kuna wakat kweny maisha inabid tutumie Loss and Profit analysis.. kwann tuache kwenda SA kisa mkulima.. tukianza leo kwenda huko, tutaimarisha zaid hii route for future.. kuliko kutokwenda saiz kisa mkulima na kuiacha hii route airlines zingine wazitawale.. SA ni nchi kubwa, huwezi kuiacha kisa mkulima!
Party and Parcel
Umeeleza na wakati sai serekali imeshaanza kutishia kufutia leseni watuSome vizuri nimeelezea yote hayo.
Sababu ni nn basi km sio mkulimaKwani nani kasema hawaendi kisa mkulima?
Acha kujitengenezea conspiracies za kipumbavu, kuna statement official kutoka ATCL inasema hivyo?
Atcl haimiliki ndege wacha kutudanganya hapaafadhal yetu ndege zinamilikiwa asilimia 100 nyinyi munamiliki ndege 3 out of 40 munategemea nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia itapinduka mwaka huu