Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio sa zile nikakwambia uwache kukurupuka..sasa hzo sealinks si vyuma vya masaa marefu...

Hapa tunaongelea ferry, hahaaa!!leo nimewakamata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya hatuna safari za masaa marefu ndani ya maji, so bado unajichokonoa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa tunaongelea ferry

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mujue muko nyuma miaka 50 πŸ˜‚πŸ˜‚ mufikie hatua ya kusafirisha abiria kutoka mombasa kwenda malindi au lamu kutumia vyuma kama hvi mutasubiri miaka 50πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Naona ymechanganyikiwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani mombasa hadi lamu mtu ajisumbue na safari za majini..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hvi ww hujui usafiri wa majini na rahisi zaidi duniani na ni salama vile vile au nyinyi akili zenu ziliganda kwenye road transport basi hamuna alternative ways za kisaidia wakenya maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…