Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo ndipo unapodhihirisha km huna uwezo wa kufikiri vizuri..ulipaswa kumuuliza kw kina ndipo uone km ana kauongo flani ili umdake freshy...
Wala sio kujiandikia figures ni km hapa ni mirembe

Sent using Jamii Forums mobile app
leta evidence basi maana naona vitanda used ambavyo kipya ni $5000! Mind u hata SGR Kunyaland was chinese first class till Tanzania started constructed her SGR!
 
Wachana na bigger city akina Mombasa na kisumu,hii ni upcoming kakamega referral hospital
View attachment 1409408
yaani sijui wajenzi wenu ni vichaa,,, yaani wakenya kwenye ujenzi bado sana,,,,,

muwe mnasubiri tu kujengewa na white people maana,,,, kwenye hiyo sekta raia wa nchi yenu wapo zerooo hakuna wnavhojua[emoji119][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…