Ni mona ya facility lakini sio ICU hehehe haitabadilisha maana mark my words 😂😂 mbona hamurudii lile neno kwamba tuna ICU 350 mamaee😃😃Na pia health care facility(critical care bed) that provides intensive treatment medicine pia ni ICU according to your post[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1406241
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohh tumetandika vitanda tayar ni ICU😂😂Hyo sio health care facility ambayo ina provide intensive tretment medicine sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Yani post yako mwnywe ndio inakuumbua jomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashakamatika huyo mpeni muda apumue kwanza mutamuua😂😂😂We mhuni jamaa afu lazma ushawai kuwa tapeli maana unajua sana kuwa kinyonga ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu that's a good designingSometimes I like to draw when I’m free and I created this skyline just pembeni mwa Morocco square. What do y’all think of it?
View attachment 1406524View attachment 1406525
sehemu ya hivi hata Mimi siwezi ku-surviveNAIROBI a.k.a CITY OF ZOMBIEZ[emoji4][emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 1398884View attachment 1398886View attachment 1398890View attachment 1398891View attachment 1398892
Sent using Jamii Forums mobile app
Meeen i wish wahusika wafikirie kuhusu classic and hot designs km hiziiiSometimes, I like to draw when I’m free and I created this skyline just pembeni mwa Morocco square. What do y’all think of it?
View attachment 1406524View attachment 1406525
Hapo Oyster bay police wanaweza wakafanya vitu amazing Kama hivyoMeeen i wish wahusika wafikirie kuhusu classic and hot designs km hiziii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ngoma ishaisha?
Kweli Magu ni the real capitalist
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
It's just having common sense! Imagine tuwaambie wale wa nyanda za juu kusini (big 6) waweke majembe pembeni wajifungie ndani, Afrika mashariki kutakalika kweli? yaani nchi ya around 1 mln sq km with a population density of 62 people per sq km ichukue hatua za nchi ya ukubwa 26,338 sq km with population density 525 per sq Km (Rwanda)!?Kweli Magu ni the real capitalist
Hali itakuwa tete c tu kwa TzIt's just having common sense! Imagine tuwaambie wale wa nyanda za juu kusini (big 6) waweke majembe pembeni wajifungie ndani, Africa mashariki kutakalika kweli?
na hilo la prism je?Inspiration ya London nimechukua ya jengo Moja tu, the gherkin. Halafu, Kabla ya kuja kunikosoa pia utambue ya kuwa mimi sio designer wa majengo. I only draw for fun mate. Keep your criticism to yourself.
London haina jengo Kama Hilo. Ukilipata nitagna hilo la prism je?
Nairobi?London haina jengo Kama Hilo. Ukilipata nitag