Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana nimepita mahali ambapo reli ya SGR inajengwa nimeogopa sana

Pamoja na mapungufu ya Magufuli

Naomba nimpe heko kwenye hili la SGR japo ni jukumu lake sio hisani kutuletea maendelo Ila kwa nilichokiona nimpe pongezi kedekede

Wakati natizama pale construction ikiendelea zile Truck kubwa kubwa zinavyobeba kifusi .jinsi wanatengezea matuta makubwaa ambayo reli itapita juu.yake nikasema hakika jamaa katika hili alifanya maamuzi magumu kweli kweli

Pongezi kwake aisee

Hii SGR itakuwa moto wa kuotea mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…