Mwenzako ndio anaumwa na miti za Nairobi. Anasema Mitaa za Dar zimejaa miti kushinda za Nairobi! Angalia post yake hapo nyumaMeanwhile, mnaanza kutafuta msitu Dar hehehehehe kumbe misitu iliyopo naipori inawauma eeehhh
Utawezaje kufanya maendeleo Kama nchi imevamiwa na Coron[emoji23][emoji23][emoji23]I thought you were going to mention development issues. Kumbe mambo tu ya corona?? Ramapithecus rudi ukalale
Corona imeshinda hata Italy and it's a million times developed than TanganyikaUtawezaje kufanya maendeleo Kama nchi imevamiwa na Coron[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! πππhaya twende CBD tikajione dense forest πππMwenzako ndio anaumwa na miti za Nairobi. Anasema Mitaa za Dar zimejaa miti kushinda za Nairobi! Angalia post yake hapo nyuma
Hakutaka,angetaka ningemleteaWewe hiyo yako ya 42 people ulileta evidence?
Umesema kwamba mitaa zenu zimejaa miti kuliko za Nairobi, tumaluzane hapo kwanza kabla hatujaingia cbd. Hizo mitaa zenu nilizoleta hapo juu ndio Mitaa yenye miti???????Hahaha! πππhaya twende CBD tikajione dense forest πππ
Mimi nimekataa, niletee sasa nioneHakutaka,angetaka ningemletea
ππππ€£π€£ππππThe room that I rent is a hundred times better than the dream house that you've built in Dar
Sasa unamsemea wewe,yeye mwenyewe yuko wapi??!Mimi nimekataa, niletee sasa nione
Umesema kwamba mitaa zenu zimejaa miti kuliko za Nairobi, tumaluzane hapo kwanza kabla hatujaingia cbd. Hizo mitaa zenu nilizoleta hapo juu ndio Mitaa yenye miti???????
Useless Danganganyikan. Povu ndio mmejaza midomoni mwenu. You can't even prove your own claims. How terrible!Sasa unamsemea wewe,yeye mwenyewe yuko wapi??!
Hiyo moja tu? π π I thought every single estate in Dar has trees as you claimed. Mbona zile nilileta Hazina miti?
Ndani ya CBD Nai forestUmesema kwamba mitaa zenu zimejaa miti kuliko za Nairobi, tumaluzane hapo kwanza kabla hatujaingia cbd. Hizo mitaa zenu nilizoleta hapo juu ndio Mitaa yenye miti???????
Wewe ni mtu wa kupuuzwa tu. I thought you were going to defend your argument, Kumbe ni kilaza tu kama wenzako!
We umedandia treni kwa mbele,ungekuwa demu asa hivi ungekuwa na mimba za wanaume tofauti tofauti...Useless Danganganyikan. Povu ndio mmejaza midomoni mwenu. You can't even prove your own claims. How terrible!
Sijapost estate budaa πππHiyo moja tu? π π I thought every single estate in Dar has trees as you claimed. Mbona zile nilileta Hazina miti?
Ile 42 yako imeenda wapi tena?We umedandia treni kwa mbele,ungekuwa demu asa hivi ungekuwa na mimba za wanaume tofauti tofauti...
Kenya corona cases ni 32
Tanzania 13
Only 3 hours remained to sleep...watch it up usije ukapigwa virungu
Hilo ndio tatizo lenuCorona imeshinda hata Italy and it's a million times developed than Tanganyika
π π πWe umedandia treni kwa mbele,ungekuwa demu asa hivi ungekuwa na mimba za wanaume tofauti tofauti...
Kenya corona cases ni 32
Tanzania 13
Only 3 hours remained to sleep...watch it up usije ukapigwa virungu
Tumeshindwa kufanya nini? "Kuipiku Kenya" ama? π π πHilo ndio tatizo lenu
1)Kwasababu wanaume wanaolewa huko Marekani ambako ni developed kuliko Kenya, kwahiyo na ninyi wakenya mnaenda kuolewa.
2)Mbona wazungu hawana ukabila ninyi mnaendekeza ukabila?
3)Mbona wazungu hawana rushwa ninyi rushwa imewashinda?
Acheni kutoa sababu za kushindwa eti kwasababu wazungu wameshindwa. Sasa Tanzania tutawaonyesha kwamba tunaweza kufanya yaliyowashinda wazungu (Mungu wa Wakenya)
Sent using Jamii Forums mobile app