Kumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Msamehe tu, hawa vijana wengi wa kutoka kwa jirani unaokutana nao hapa wana hali mbaya ya maisha. Wanakuja kupunguza frustrations na loneliness tu hapa JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hapo jamaa kajambaNairobi Roads are perfect places kwa mazoezi ya mbio za kuruka viunzi[emoji1787]View attachment 1400979
Sent using Jamii Forums mobile app
Just the same way paka wangu hawezi lala ndani ya dream house π πMabox yanayo momonyoka! hata mbwa wangu hawezi lala humo.
Huwa wanatuambia hapa eti wote wanamiliki dream house DarKukodi hyo ni lazima wakodi, manake wengine wamejenga kw ajili ya biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari lazima ifikie mabeberu wherever they are π πItabidi wakenya tu andamane ili angalau wenzetu nao wapate unafuu kidogo[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
This is Tabata. Eti nilipe rent ksh 22,000 hapaKumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Amenishangaza snKumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Siku hizi Thika road inakaa hivyo? π π π
Ni kweli una wazimu. Coz I just tried to show your brother that Ksh20k is nothing when it comes to rent.....and I didn't say for that amount you can get what type of a house.This is Tabata. Eti nilipe rent ksh 22,000 hapa
View attachment 1400988
while I can pay the same amount here!!View attachment 1400989
Kwani mimi ni wazimu???
Thus is Kijitonyama.Kumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Kwani what type of houses do you have in Dar apart from those dream houses? Hata hizo tabata, Kijitonyama na Sinza ulizotaja ni nini ziko huko apart from dream houses?Ni kweli una wazimu. Coz I just tried to show your brother that Ksh20k is nothing when it comes to rent.....and I didn't say for that amount you can get what type of a house.
Wewe pia ni low life ndio maana unaona living in 'projects' is an achievement! Yaani umeyapatia kweli maisha.
And then here comes SinzaKumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Nairobi covers an area of 696square kilometers, whereas Dar es salaamu covers an area of 1590square kilometers, sasa ebu tuchukulie tu kwamba Nairobi 600km square iko planned , then Dar tuchukulie ile size yooote ya Nairobi ambayo ni 696square kilometers kwa Dar haziko planned, so at the end tunabaki na 894 square kilometers Dar ziko planned. My point,!! unaweza sema Nairobi is more planned than Dar without considering all factors including city coverages ππFirst and foremost, this is not the post we were talking about. Hii post nilimquote Tuusan, not you. Secondly, that's just one picture that can't prove the rest are not Dar. Upangaji mji Dar still has a long way to go or even reach the level of Nairobi io
Kwa maana hiyo nini maoni yako juu ya fact kwamba Nairobi is 696 Sq m n yet 90% squatters? BTW Dar is even more bigger after Mloganzila campus was added to Dar region from Kibaha π π πNairobi covers an area of 696square kilometers, whereas Dar es salaamu covers an area of 1590square kilometers, sasa ebu tuchukulie tu kwamba Nairobi 600km square iko planned , then Dar tuchukulie ile size yooote ya Nairobi ambayo ni 696square kilometers kwa Dar haziko planned, so at the end tunabaki na 894 square kilometers Dar ziko planned. My point,!! unaweza sema Nairobi is more planned than Dar without considering all factors including city coverages ππ
Republic of wakora πππWakenya bhn wako na tabia mby sn [emoji116][emoji116]View attachment 1401037
Yaani wakenya wanazani Nairobi eti iko planned than Dar, but the reality Nairobi is very tin compared to the Might Dar es salaamu, sababu maeneo ambayo yako planned Nairobi hawawezi zidi Dar, lakini kwa sababu Dar ni kubwa sana kama sio mchunguzi sana itaichukulia simpleKwa maana hiyo nini maoni yako juu ya fact kwamba Nairobi is 696 Sq m n yet 90% squatters? BTW Dar is even more bigger after Mloganzila campus was added to Dar region from Kibaha π π π