Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course hatuwezifana. Niletee picha moja kama hii kutoka Nairobi ndio nijue tunafanana View attachment 1397879
Zoom basi kwann unapost picha zimepigwa mbali sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zoom hio picha tuone slum mm leo nifunge account jamii forum unafkiti mzungu mjinga sana πŸ‘‡πŸ‘‡ technology na ww nani anaakili sana
 
Umeshaanza mayowe...sawa uko kikazi n all that,huoni kua na kibanda Nairobi ni fursa kuliko uko shambani kwenu ulikojenga (sidhani kama ni kweli)....Mimi binafsi nakushauri ujenge Nairobi kibanda cha room tatu cha wastani maana uko baadae ndio hali itakuwia vigumu zaidi maana plot zinapanda bei sana...
Kama kujenga huwezi basi fanya unavyofanya ununue apartment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohhh sijui tandale haya tandale hii hapa sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Eti analinganisha uswazi na middle +high income-earners areas za nairobi sasa high income-earners za huku atafananisha Beijing πŸ’ͺ
Uswazi inamaanisha nini and why don't we have them here? Alafu which high income areas have I shared here to compare with your dream houses? Can you name them for me please? Nikianza kupost high income areas hapa si mtabaki tu mkisema ni za mabeberu mwishowe mmalizie na ule wimbo wenu wa jadi wa 'Nairobi ilijengwa na wazungu'?
 
Nakwambia siku atajenga kibanda nairobi huyo ndio siku hio hio yesu anshuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hana uwezo wakununua apartment huyo....[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

na kingine umempa ushauri mzuri sana nijazie tu,,,,ajenge. NBO kisha apangishe kuliko kupoteza mda hapa kwa kujitamba kuwa amepanga kwenye estate,,,,,, utasema yeye ni mtu wa kwanza duniani au nairobi pekee ndiyo ina estate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who said that you should agree with anything I say here? I don't even want you to believe me anyway coz am not here to discus my personal life like I've seen some of you do here.

Nairobi hatuna mfumo wa dream houses so ushauri wako haiwezinisaidia. Na pia ufahamu kwamba bei ya ardhi huku Nairobi sio Shilingi mbili kama ilivyo hapo Dar that's why people end up buying apartments which are cheaper compared to buying land then developing it. I know it's a downside but it has in a way helped in curbing the proliferation of uncontrolled development as seen in Dar. For those who can afford to buy land, building and zoning laws are so strict here that you can't just build a house bora ni nyumba and this explains why Nairobi hakuna uswazi
 
Na kwann hujiulizi kwann nairobi kuna biggest slums on planetπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eti kapangisha nyumba kwenye estatesπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uswazi maana yake ni makazi ambapo nyumba ni nzuri lakini hazijapangiliwa vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ambako watu wa kipato cha chini huishi
 
Sasa kukufunza adabu ntakuja hapo Nairobi nakujenga moja...nikirudi Tz ndugu zako watapanga...nairobi this Nairobi that, unajiwekea ukuta mwenyewe haiwezekani haiwezekani kitu gani?plot ziko miji yote duniani na hazijWahi kuisha Acha kua kama fala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watanzania tuwe wajanja. kama una shamba nenda kafanye kilimo na uwe na stocks nzuri, vilevile kwa wafugaji. stocks huko nje zinaisha.. watakuja kununua vyakula kweny nchi zenye stocks kubwa ya chakula. Nawahurumia wakenya [emoji23].. nzige tu wamewatoa jasho
 
Utatoa pesa wapi ya kucome Nairobi na siku hizi bars hazifanyi? Hata kama zinafanya huko kwenyu then utaachia nani kazi ya kuserve customers?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kapangisha nyumba kwenye estates[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana,,,yaani kwake ni kitu cha ajabu na kajivunia mwenyewe,,,, unasimama mbele ya wanaume halafu unajisifu kuwa umepanga kwenye estate wakati hata mademu nao wamepanga.....

huyo jamaa ni kichaaa ansumwa kifafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umempa ya uso tena kushoto iyo inaitwa kubwa kuliko......eti nairobi hawawezi kujenga,,,,, wanafanya nairobi ni mbinguni. wanakwepana na uhalisia kuwa hawana pesa zakujenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…