Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na maeneo anayoleta there are tremendous changes, nilisha muambia ataje matatizo ya nyumba kashindwa sababu anaona roofs pekee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa ivi za kujiongeza unazo kweli!! naona unapost na picha zina milima at the back_ground sijui ni dar ya wapi yenye milima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nyingine naona minada huru, labda elezea lengo lako tukuelewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf wanakuja hapa nye nye nye wakat mambo kwa ground ni uozo wa bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…