joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
1. Julius Nyerere Hydropower project $3BCheap things,, leta multi billion dollars projects
Esigiara haifiki bandarini ata ulie. [emoji1787][emoji1787]Treni ya abiria bandarini ikafanye nini?? Kwan treni ya abiria yenu inafika bandarini??[emoji16]
Natumia ya Kikenya sana sababu kuu ikiwa ni kuzoea.We jamaa inaonekana uliwahi kukaa au bado unakaa Tanzania maana hauna maneno yale ya kikenya kwenye uandishi wako
kitochi
Wanataka kushindana na tanzania kwa mabasi mazuri na luxury😂😂😂😂View attachment 1396336View attachment 1396337View attachment 1396338View attachment 1396339View attachment 1396340View attachment 1396341
View attachment 1396346
Angalia mbele utaona The Oval. Alongside you can see the main road. Private is in your mindHii bricks paved private path ndo unatuwekea humu?
hapo umesahau tanga and mtwara port expansion 300m usd1. Julius Nyerere Hydropower project $3B
2. SGR, Dar-Makutopora $3.9B
3. Busisi bridge $350M
4. 11 New planes $1.1B
5. Dar port expansion $370M
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu nioneshe SGR yenu ya abiria ikifika bandarini😁😁😁😁
zoom utuoneshe slum ili leo niamini kua ww unaakili kuliko mzungu😁😁
safari hii maua mutauzia nyuki😁😁You are just stupid. That's all I can tell you
Fool Still bricks paved!Angalia mbele utaona The Oval. Alongside you can see the main road. Private is in your mind
Warudishe fedha za watu! Vocha ndo nn?subirini musikie loss ya mwaka huu sijui watawalipa nn wenye ndege zao 37😁😁😁😁😁 zile tatu chakavu unaeza kuta ziko ground maana zimechakaa
yani nafkiri ni design ya allowance na ticket ya kusafiri kwa kwa date nyingine within this yearWarudishe fedha za watu! Vocha ndo nn?
fedha ya kurudisha wanayo kwani GDP inanuka ushuzi wa madeni😁😁😁Warudishe fedha za watu! Vocha ndo nn?
Warudishe fedha abiria wanahitaji fedha zaidiyani nafkiri ni design ya allowance na ticket ya kusafiri kwa kwa date nyingine within this year
Wewe subiri uone kamasi vile zitawatoka hapo bado hawajawalipa wenye ndege zao 37 😂😂 subiri usikie loss ya mwaka huuWarudishe fedha abiria wanahitaji fedha zaidi
😀 Ila wanalipwa, mimi mwenyewe hua nakesha sana, unapokua kijana huna budi kukesha kuna kipindi umri utakua hauruhusu kujipunja usingiziYani unajikuta umerauka kumbe hujui km kuna wengine wamekesha[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
airline nyoronyoro!Wewe subiri uone kamasi vile zitawatoka hapo bado hawajawalipa wenye ndege zao 37 😂😂 subiri usikie loss ya mwaka huu