Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na milllionaires walikosea?🀣🀣🀣
When Kenya was rated above Tanzania last year what did you people say? To you guys, something is only good if it places Tanzania above Kenya. Any other thing ni ya kupikwa na ya makaratasi. Horrible!
 
Did you know Tingatinga is the famously world's known unique art originated from Tanzania
bado sana wazeee,,,endeleeni tu kukuza wakimbiaji[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL hawana chochote kinachotumia big brains wanachoweza kujivunia kama Taifa zaidi ya kukimbia hovyo kama vichaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
When Kenya was rated above Tanzania last year what did you people say? To you guys, something is only good if it places Tanzania above Kenya. Any other thing ni ya kupikwa na ya makaratasi. Horrible!
Ahahaha mumekamatika vibaya sana huu mwaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona siku hzi mada ya millionares imeisha siskii mkenya akilleta upuuzi ohh mombasa ina millionares wengi kuliko tanzania yoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mamaee

so unataka kusema number of millionares tanzania zimepikwa sawa???πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Hio ni dalili kubwa sana kuonesha even number of millionares hua munapika kama munavopika GDPπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ huu mwaka mutapika mpaka makende yenu shubamiti
 
Mfunge viwanda kisa nn?unafaham umeme kiasi gani unahitajika kuendesha treni?yawezekana hujui chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu ni kwamba wewe ndio hujui unachosema. In order to convert to electric rail, Kenya will need 1,000 MW of uninterrupted electricity. Kenya currently has installed capacity of 2,700 MW against the national peak demand of 1,800 MW as of 2019. That leaves us with only around 900 MW to play around with which is still isn't enough to run electric trains. You should thank me for this piece of information
 
hata mungekua na 5000mw mpango wa electric train hamkua nao mark my words na mkubali kua mchina aliwatia vidole hadharani simple and clearπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ na hio project ishageuka kua white elephant mpaka dakika hii
 
Hadi 22 mwaka wa uchaguzi wenu dunia na Kenya lazima zitapiga wimbo wa tz sisi hatutaki maneno mingi niliwaambia huu mwaka huu lazima mtii IMF & World bank wate lazima wataikana Kenya mbele ya tz we sebiri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nini imefanyika mwaka huu? And is 2022 the first time Kenya is going to hold an election? We've been holding elections since 1963 na bado mnasoma number yetu kutoka wakati huo hadi wa leo. So unaona vile unajipa matumaini pasipo na matumaini!!
 
LOL naona ukipost sana carvings kwenye pictures zako, hivi Kenya Kuna Jamii yoyote yenye ujuzi wa carvings? Ninyi duniani kote Hakuna kitu mnajulikana nacho cha ubunifu na uniquely Intel used zaidi ya kukimbia hovyo kama vichaa
Do you know who did the carvings of sculpture at the entrance of The United Nations headquarters in NY? I bet you should know first then come back later
 
curving za kawaida,bei rejareja!
Nishamuuliza kana anajua mwenye alifanya carving ya sculpture at the entrance of the UN headquarters in NY nangoja majibu yake. Anatuonyesha vitu za Shilingi mbili hapa anadhani amefika
 
Did you know Tingatinga is the famously world's known unique art originated from Tanzania

LOL hawana chochote kinachotumia big brains wanachoweza kujivunia kama Taifa zaidi ya kukimbia hovyo kama vichaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afadhali tunakimbia. Nyinyi mnajulikana Kwa lipi duniani? Apart from riadha, Kenya inajulikana kwa raga, voliboli, boxing and swimming. He, nyinyi mnajivunia nini mbali na ushirikina?
 
Afadhali sisi ni wakiambiji. Nyinyi mnajulikana Kwa lipi duniani kando na ushirikina? Hata kandanda tuliwanyorosha vilivyo Afcon
LOL hivi mna historical artifact gani mliyonayo zaidi ya vijumba vya nyasi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Which unique complicated thing you innovated down the line from your ancestors?

Hakuna mchango wowote wa innovation mlionao jamii zote za Kenya, mpo mpo tu kama mang'ombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afadhali tunakimbia. Nyinyi mnajulikana Kwa lipi duniani? Apart from riadha, Kenya inajulikana kwa raga, voliboli, boxing and swimming. He, nyinyi mnajivunia nini mbali na ushirikina?
LOL you are missing the point you fool, did you innovate voliboli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hata mungekua na 5000mw mpango wa electric train hamkua nao mark my words na mkubali kua mchina aliwatia vidole hadharani simple and clearπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ na hio project ishageuka kua white elephant mpaka dakika hii
Sometimes, I just choose just to ignore you Mr. Geography and a professor in counting floors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…