The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kumbe kweli nmeamini locust ni pigo kutoka kwa Mungu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nicxie Teargass Zigi Rizla mwaswast kujeni muone cabin crew ya KQ af mutuambie ndo hii kweli au propaganda za kina David Ndii
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1381952
Kenya ni "Failed state", isiumize kichwa chako, "man eat man"Wakenya wasipoliangalia hili jambo litakuja kuleta mtafaruku mkubwa huko mbeleni, ajira nyingi ss zinazoweza kufanya na mkenya anapewa mchina wakati kule china hakuna mkenya kupewa ajira na serikali ya china, hili jambo waliangalie kwa umakini sn watakuja kuchinjana me nawaambia.
Kuna watu huimba ati LAPSSET itahudumia Tanzania mara wafurahie highway ya Malindi Tanga Bagamoyo wakidhani itanufaisha Mombasa port tu! They r in for a shock of their lives! JPM means business!
Huu msumari sijui wataukwepaje. Nchi yenye uchumi mdogo lakini idadi ya matajiri ni mara mbili ya nchi yenye uchumi mkubwa, hii ndio faida ya ujamaa, uchumi unasambaa kwa watu wengi, sio kabila au familia chache. Tunakukumbuka Nyerere
But the 80% of nairobi is made up of slum,It therefore means that 80% if Dar is low income areas coz 80% of your city is made up of uswazi
Thanks for render😁😁😁😁Westlands New development,near the venue of Avic International Africa Headquarters
The new centre has caught Nairobi by storm.
__________________
kwani hawana pesa ya kupiga rangi
kwani hawana pesa ya kupiga rangi
Elimu yenu duni 😁Ushajua hio world bank ni kwa ajili ya mradi gani nijibu alaf tuendelee
Ndege zetu zinaruka Mumbai, Johannesburg, New York, Amsterdam, Telaviv Yani Kila Kona bila hofu ya kukamatwa.Nicxie Teargass Zigi Rizla mwaswast kujeni muone cabin crew ya KQ af mutuambie ndo hii kweli au propaganda za kina David Ndii
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1381952
Ok, na hao wachina vp mshawapa uraia[emoji3][emoji3]Ndege zetu zinaruka Mumbai, Johannesburg, New York, Amsterdam, Telaviv Yani Kila Kona bila hofu ya kukamatwa.
Tuonyeshe Cabin crew ATCl wakiwa miji nyingine duniani Meaka huu 2020 March 6.
Wow!!Nairobi,Undisputed East and Central Africas Metropolis!
Source: Vincephotography_ ke
__________________