Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona hana assist nyingi?
Unatafuta pakutokea 😂😂😂
 
I thought you were going to say something constructive and give many examples. Kumbe povu tu?
 
He's just doing a comparison because both are defensive midfielders. Mbona huelewi mambo rahisi?
Wewe ndio hauelewi na ndio maana unafananisha na v8 😂😂😂
Kwa kiwango gani alichonacho kumzidi Samatta!
 
Sasa mbona hana assist nyingi?
Unatafuta pakutokea 😂😂😂
Give me the number of assists those players I have highlighted above have in their respective teams then do a comparison. Granit Xhaka ako na assists ngapi Arsenal? Na Kante ako na ngapi Chelsea. Nilichogundua ni kwamba wengi wenu hamuelewi mpira wa kandanda
 
Hapa tunaongelea kuhusu wanyama unayemuita v8 😂 😂 😂
Acha kutafuta usaidizi.
 
Tunazungumzia kwa ss na co habari za miaka iliyopita, je mna mkenya anaecheza epl? Jibu swali acha kulia lia.
Huo ni ujinga. Wanyama amecheza huko miaka saba wala hatukuwahi uliza maswali za kijinga kama hizi. Huyu wenu ako huko for only two months na pia anaenda kushushwa daraja na hatupumui!!
 
Hapa tunaongelea kuhusu wanyama unayemuita v8 😂 😂 😂
Acha kutafuta usaidizi.
Ni V8 kwa sababu ako na uzoefu wa EPL wa miaka saba. Utamlinganishaje na bajaji ambaye amekuwa huko kwa mwezi miwili tu na pia anaenda kushushwa daraja?
 
Ni V8 kwa sababu ako na uzoefu wa EPL wa miaka saba. Utamlinganishaje na bajaji ambaye amekuwa huko kwa mwezi miwili tu na pia anaenda kushushwa daraja?
Uzoefu wa red card, goals 10, assist 3 ndani ya hiyo miaka 7, kusugua bench 😂😂😂
 
Na ndiyo maana wakamuuza yn he's useless defensive midfielder tackling chache [emoji3][emoji3]
Wanyama ameuzwa coz of injury issues. It's like saying Arsenal sold Jack Wilshere Kwa sababu ilikuwa useless which is not correct. Huyo Wanyama unayemuita useless scored against the mighty Barcelona, which is a pipe dream kwa huyu bajaji wenu anayeenda kushushwa daraja in the next two months
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…