Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes ndio Bora umeona ujenzi unaenedelea amazingπŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ morogoro town
Na mnafungua May 2020 hata reli na umeme bado kufika ama ni 2025?
 
Na mnafungua May 2020 hata reli na umeme bado kufika ama ni 2025?
Kwan we tatizo lako nini sio ww umesahau ulitaka km ya reli badae ukasema unataka kuona matofali ya stations yani sindano mwaka huu lazima iwaingie kwa namna yoyoteπŸ˜€πŸ˜€πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Ila Wakenya wa JF bana, kuna kipindi flan last year walikua wanashangilia Tunnels za SGR yao ya to nowhere humu ndani, kuanzia zinaanza kuchorongwa mpaka zimekamilika tena na wachina wakafanya na party kabisa

Zililetwa picha za phase 2 hapa maandishi ya kichina kila pembe ya tunnel

Leo wanaleta Wabongo mnaanza kulia kulia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…