Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa hua jamaa nashindwa kuwaelewa wakati mwingine. ..
Mradi wa dar chalinze unaenda taratibu wakati huko ndio kuna jam na magari mengi...unatafuta mkopo kwenye barabara ambayo haina noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…