Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Vinatoa ajira gani... Mbona mnaongoza kwa unemployment rate hapa EA?
Kila mara visingizio tu,
Sasa mbona hivo viwanda vinafuta na kupunguza wafanyakazi sana!
Unatuletea story za magazetini 🤣🤣🤣Hao watanzania ambao Wana ajira wameajiriwa wapi,hebu nambia sekta ambayo imeajiri watanzania hata million tano? Ni sekta ipi hio ambayo ni multbillion dollar ambayo imepunguza kiwango Cha ajira Tanzania? Mbona mnashindwa kufikiria,au Ndio ile sekta ya umbea mnashinda vijiweni kubishana na jua likisogea pia mwasogea? Ama kweli wataalamu hawakukosea waliposemaView attachment 1371251
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona unemployment rate ya Tanzania ni ndogo sana ukanda huu huku Kenya ikiwa na unemployment rate kubwa sana ukanda huu wa EA?Hao watanzania ambao Wana ajira wameajiriwa wapi,hebu nambia sekta ambayo imeajiri watanzania hata million tano? Ni sekta ipi hio ambayo ni multbillion dollar ambayo imepunguza kiwango Cha ajira Tanzania? Mbona mnashindwa kufikiria,au Ndio ile sekta ya umbea mnashinda vijiweni kubishana na jua likisogea pia mwasogea? Ama kweli wataalamu hawakukosea waliposemaView attachment 1371251
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ile design hawa watu wanataka tufanane is laughable. The things they call dream houses are only found in slums huku kwetu. Ask them to bring such images outside Nairobi slums they end up throwing tweeter images stating that 80% of Nairobians live in slums. It's desperation of the highest order
Unatuletea story za magazetini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mbona unemployment rate ya Tanzania ni ndogo sana ukanda huu huku Kenya ikiwa na unemployment rate kubwa sana ukanda huu wa EA?
Tumia akili au ndio ile ni kweli locust wana akili kukuzidi!
Unemployment rate Kenya ni kubwa kiasi kwamba vijana wa kenya hutembea na mabango barabarani huku wakiwa wameandika maneno ya kuomba kazi,
Na tena serikali yenu imesitisha kuajiri kwa muda wa miaka mitatu.
Visingizio visivyo na maana yoyote 😂😂😂
Hawa si ndo wanajitamba na umeme wa joto la ardhi?Raha naskia sana
Aisee hapa vp? Middle income. ..LOL I can bring you dozens of them from different places even from your state house
halafu Hakuna mabanda ya bati Dar, 60% of houses in nairobi and probably Kenya are made-up of rusted corrugated iron sheets from the scratch which you will never find that rubbish in any place of Tanzania, entitled as a house.
View attachment 1371164
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 asvptxAngekua mchina kwenye failed state angekua anawatandika viboko maaskari🤣🤣👇👇👇
By the way you guys mbona msiwe positive na mjadili vitu ambavyo ni vya msingi maishani,Mimi sijawahi kuona Wala kusikia wamerekani wakilinganisha new York na London au hata Beijing na Paris? Let's be constructive guys.Visingizio visivyo na maana yoyote [emoji23][emoji23][emoji23]
Narudi pale pale, mbona unemployment rate yenu ni kubwa ukanda huu huku Tz ikiwa na unemployment rate ndogo.. Au unadhani hizo takwimu ziliokotwa?Wewe kwa akili zako hao watanzania wameajiriwa wapi? Hata leo ukienda ukitembea Tanzania vijana wapo wapo tu ,wanatembeza karanga na kushinda vijiweni kujadili mafanikio ya wenzao huku wakishindana na jua. By the way you guys mbona msiwe positive na mjadili vitu ambavyo ni vya msingi maishani,Mimi sijawahi kuona Wala kusikia wamerekani wakilinganisha new York na London au hata Beijing na Paris? Let's be constructive guys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo unaona leo kwmb hatujadili vitu vya msingi baada ya kuharisha humu ndani, na ss mambo yanakutokea puani unaanza ku surrender [emoji3][emoji3] heri ww umesoma alama za nyakati, cc tuache tuendelee na hawa ndg zako mpk nao wanyooshe mikono juu km wwWewe kwa akili zako hao watanzania wameajiriwa wapi? Hata leo ukienda ukitembea Tanzania vijana wapo wapo tu ,wanatembeza karanga na kushinda vijiweni kujadili mafanikio ya wenzao huku wakishindana na jua. By the way you guys mbona msiwe positive na mjadili vitu ambavyo ni vya msingi maishani,Mimi sijawahi kuona Wala kusikia wamerekani wakilinganisha new York na London au hata Beijing na Paris? Let's be constructive guys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wapi na hatukuli kinyesi Kama nyinyi.Vp na njaa tunawazd au[emoji3][emoji3]
Tupe jina tufanye reverse search tupate kujua hii white elephant yenu imefika wapi.Hapo panaitwa homa ya jiji🤣🤣🤣🤣🤣
Nikupe kwani hujui ndio the modern electric railway in africa🤣🤣🤣🤣Tupe jina tufanye reverse search tupate kujua hii white elephant yenu imefika wapi.
🤣🤣🤣👇👇👇👇
Unajua maana ya work force wewe😁😁😁
Imebeba mizigo na abiria wangapi na imekamilika kiasi kipi? 😁Nikupe kwani hujui ndio the modern electric railway in africa🤣🤣🤣🤣