That doesn't change the fact that you entered a leasing dealI thought unajua kiingereza kumbe bado tu sana kijana..hiyo kabla pombe hajaingia madarakani na shirika la ATC bado kabisa kufufuliwa,ni enzi za jakaya
Mambo yetu yanawekwa wazi and that's why our media houses are able to talk about them. Is it the same case with you?Mbona hushangai namna jubilee inavyowapumbaza,
Siku mkipata rais mwenye uchungu na Kenya... Hayo madudu atakayo yakuta 😂😂😂
Mambo gani munaweka wazi SGR imekuja kubutuka miaka miwili baada ya shirika kugeuka kua white elephant na huku loss ikitafuna shirika🤣🤣🤣🤣🤣Mambo yetu yanawekwa wazi and that's why our media houses are able to talk about them. Is it the same case with you?
ATCL labda ipewe miaka hamsini ndio ianze kuwa na ndoto za kutupia tumbo joto. It's not generating even one eighth of what KQ is generatingLakini ndio inawapa tumbo joto airline imefufuliwa miaka 3 ina 11 brand new aircraft wakat loss making airline iko in service 35 yrs ina ndege 3 zaimezeeka🤣🤣🤣🤣🤣 alafu bado munamktafuta mchawi
Huwa wanakuogopa sn cjui kwnn [emoji3][emoji3]Leo umekuja patamu sana [emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116] mimi nilikwambia over30 ni only two buildings bado utaniamini tu
View attachment 1370548
Miaka mawili. Hiyo yenu ya 2007 imejilulikana baada ya miaka mangapi? And do you know the meaning of a white elephant?Mambo gani munaweka wazi SGR imekuja kubutuka miaka miwili baada ya shirika kugeuka kua white elephant na huku loss ikitafuna shirika🤣🤣🤣🤣🤣
Yanawekwa wazi na nani 😂😂😂 hujui kitu wewe,Mambo yetu yanawekwa wazi and that's why our media houses are able to talk about them. Is it the same case with you?
Hiyo 38 ni Marriot Hotel, Office Tower ni 43 floors. All buildings are above 30 floors.So Tallest is 38 and not 42🤣🤣🤣🤣 nyingine naona imeishia 28 😀😀😀😀
If tallest is 42 nueleze inayofatia ni floors ngapi??🤣🤣💉💉👇👇👇
Kwasababu diff ya 42 na second ni almost 9 to 10 floorsView attachment 1370544mi
Hata kumjibu nilishindwa cz imenishangaza sn mtu mzima kuleta hbr za 2007 km testament to 2020 pathetic...2008 case soma maelezo vzr [emoji121][emoji121][emoji121][emoji121][emoji121] upumbavu kama huu wautatokea kwa magu
Sasa leasing deal za serikali ya kikwete zinahuasiana nini na ununuaji cash wa ndege za serikali ya magu...we unajielewa kweli!!!That doesn't change the fact that you entered a leasing deal
Mama yangu Dar es salaam yooote hakuna kama huo uchafu hapo juu duh!!..aki slum ni kitu mbaya sana khaaaI clearly said "part of Kariobangi". Mbona Unajifanya hujui kusoma? And how do you expect the whole of Kariobangi to be captured in one picture? And here is also a section of kawangware slum 😂 😂 😂 View attachment 1370559
Subiri ujionee mwaka huu ndege tatu brand new zikiingia ndio utaelewa soma 🤣🤣🤣ATCL labda ipewe miaka hamsini ndio ianze kuwa na ndoto za kutupia tumbo joto. It's not generating even one eighth of what KQ is generating
Wanasema mbwa ukimjua Jina hakupi tabu🤣🤣🤣Huwa wanakuogopa sn cjui kwnn [emoji3][emoji3]
Walah jirani hana kitu makini kama hiki 😁
Si ndio SGR pekee duniani ilioishia machakani near cattle market🤣🤣🤣🤣👇👇👇Miaka mawili. Hiyo yenu ya 2007 imejilulikana baada ya miaka mangapi? And do you know the meaning of a white elephant?