Wewe ulishasema kwamba hiyo ni Nairobi-Nakuru highway hadi ukahapa so hakuna haja ya Kutusumbua tena.Leta sign board yoyote ikionesha Kenya kuna ujenzi wa BRT Kenya haki ya Mungu ukipata mm nafunga acc jamii forum🤣🤣🤣🤣
Ahahhaha msikieni huyu kwan pinnacle hamku launch mumesahau leo🤣🤣🤣🤣🤣 lets ushahidi wa sign board kua construction of BRT na expressway zinajengwa ukipata mm nafunga acc jamii forumIchoboy, ujenzi wa barabara sio kama kukaanga njugu. There's a lot of work that goes on before even graders begin to work. One of these is soil testing. Wewe unadhani bora launching imefanyika tu then the next day uchimbaji wa barabara inaanza kuashiria ujenzi inaendelea? Saa zingine ni vyema kutojifanya unajua kila kitu while you are the most misinformed Tanzanian in this forum
Kua munajenga BRT 🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ulishasema kwamba hiyo ni Nairobi-Nakuru highway hadi ukahapa so hakuna haja ya Kutusumbua tena.
Is this BRT hvi munafanya humu watu wapuuzi sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni wapi imeandikwa kwamba ni lazima ukubali? View attachment 1360616View attachment 1360618View attachment 1360620
Bwahhhaaaahhaaa 😂😂😂😂😂👆👆👆👆Ni wapi imeandikwa kwamba ni lazima ukubali? View attachment 1360616View attachment 1360618View attachment 1360620
Hvi wewe unatuambia sisi this is BRT au unafkiri hapa ni nairaland 🤣🤣🤣🤣🤣Ni wapi imeandikwa kwamba ni lazima ukubali? View attachment 1360616View attachment 1360618View attachment 1360620
Hahahaaaaaaaa huyo bado ni masikini tu haifiki hata kwa late mengi..Hapa Kenya Kirubi ndio Kusema.
The owner of the Largest Mall in Eastern and Central Africa. Tz mko na Nani apart from yule mhindiView attachment 1359309
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unapinga hadi mambo yaliyo wazi. Nairobi-Mombasa expressway was a project by the Americans and construction is yet to start while JKIA -westlands expressway is a project by the Chinese and it's well underway. Ujinga ni kujifanya unajua masuala ya Kenya kushinda sisi wenyeji?If I remember correctly, the expressway to be built is only one. Nrb to Msa. Na ndio ina story mob kuhusu nani atoe pesa. China ili mtoe road toll barabarani au US kwa mkopo nafuu. Hizo nyingine ni pang'ang'a zako as usual to catch up with your ego.
Sent using Jamii Forums mobile app
Flyover👆👆👆👆🤣🤣🤣🤣Kisumu flyover......Leading to the Busia bypass View attachment 1359353
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya mnadharau sana ya ubaguzi na dhambi hii ina anzia ukabila na sasa mpo kimataifa HongereniA person from Mozambique.....one of the world s poorest countries getting amazed by daresalaam an ldc city....why am i not surprised
Sent using Jamii Forums mobile app
Aanze na slums za kibera hadi kariobangi 😂Wewe manzi upo !!?? Bora sasa nashukuru nitapata jibu la swali langu
KENYA KUNA SLUM NGAPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya mnadharau sana ya ubaguzi na dhambi hii ina anzia ukabila na sasa mpo kimataifa Hongereni
Hiyo ndo board ya ujenzi..hivi we huwa unajielewa hata kidogo!
Keep catching butterflies .. construction issues waachie wenyewe..it seems uko na ujinga mob kwa kichwa yako joNimekuliza what's the difference between hiyo kibao yako na this? It is even funny you can't see trucks and tractors hapo kando.View attachment 1359498
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni Mogadishu,hakika umasikini is real..hata finishing hamna..pamekaa kama mji fulani wa 1970 hivi
Unaona kweli mahali ameanzia hesabu? Hiyo number one iko wapi exactly? Ama macho ulipewa kana maridadi tuMbn nayo imehesabiwa hyo au huoni
kwani construction site zao huwa hazina ubao wa maelezo?🤣🤣🤣🤣🤣 huwezi pata sehemu yoyote mark my words
I already told you kwamba ujinga wako ni wa kuzaliwa.Sasa project bado ni render kwann useme imeshaanza 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 huwezi pata sehemu yoyote mark my words