So jengo limeanza juu ya parking 🤣🤣🤣🤣 aisee wewe sina hakika kama mzima weweYa kwanza nilipata 28 after including parking area and I can remember venye you really complained that day. So today niliamua kuacha parking area and I got 26.
Look at this zombie,That`s ground floor.Mpumbavu kweli wewe is this ground floor 👇👇🤣🤣🤣🤣 angakia nilipoanza kukuchorea
View attachment 1359777
So perimeter wall imekuwa part of the building? 😂 😂 😂 😂Floors hazihesabiwi kama nyanya🤣🤣👇👇
View attachment 1359778
James Gichuru Road - Rironi road is a differennt road project from what you are referring to and Teargas didn't include it here. Wacha kujifanya unajua Nairobi kushinda sisi wenyejiRironi is 16b ksh inakujaje 630m usd🤣🤣👇👇
Au unafkiri kutaja fake amounts ndio mutaonekana munajengaView attachment 1359262
Angalia vzr teargass tena kua makini kabisa unaona huo ukuta hio ndio mrefu wa ground floor na inaonekana kabisa very clear🤣🤣👇👇👇👇Look at this zombie,That`s ground floor.
Hapo penye nimeandika ground floor ni juu ya parking lot?So jengo limeanza juu ya parking 🤣🤣🤣🤣 aisee wewe sina hakika kama mzima wewe
So jengo limeanza juu ya parking 🤣🤣🤣🤣🤣 leo imefkia hatu nakuona mpuuzi sijapata kuona
Is render the only English word you know?Kumbe ni three phase so phases zingine ni render sawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
So umekasirika au🤣🤣🤣🤣 kingereza ni lugha ya mzungu yako ni ipi au wewe mtumwaIs render the only English word you know?
ICHOBOY ARE WE TOGETHER?Angalia sehemu nilipokuchorea mwanzo siulipata 28 sasa angalia hzo sehemu vzr yani wewe hata usijitie ujinga utaelewa tu🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1359775
Waafrika wako na dream houses 😂 😂 😂 😂Afadhali Kenya is run by blacks...huko ni wahindi na waarabu.waafrika hawana lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa kuanzia ground level..nahisi kwenye viwanja sio mbaya sana..il inabid tuinvest kwenye academy ..zile youth centre au park kama JK Kikwete ziwe kila mkoa....na ziwe zina makocha waliofunzwa kufundisha Football,Netball,Volley Ball ,B Ball na Swimming na Indoor games kama draft,pool, soccer table etc ...kuwe kuna kusaka vipaji nchi nzima..kimkoa mkoa ..watoto wenye vipaji wana hamasishwa kwenda kwenye youth centres..Tanzania tupo vizur kimpira ila tunafail tu kweny uwezekaji wa football infrastructure (priority)
I doubt if you even know the meaning of that wordSo umekasirika au🤣🤣🤣🤣 kingereza ni lugha ya mzungu yako ni ipi au wewe mtumwa
Jibu swali langu jengo limeanza juu ya parking ????🤣🤣🤣🤣🤣 naomba jibu kama umehesabu na parking 28 so swali jengo limeanza juu ya parking au???
Mm sijui ila wewe mtumwa wa mzungu unajua sanaI doubt if you even know the meaning of that word
Wanaujua ukweli huuHawana density kama hii. Magorofa ya Nairobi yanaonekana mengi kwa vile yameachiana sana nafasi. Mji una vichaka vya wazi vingi. Ukiyakusanya maghorofa yote ya Nairobi hayawezi hata kupajaza Kariakoo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Is that place nimeandika ground iko juu ya parking area?Jibu swali langu jengo limeanza juu ya parking ????🤣🤣🤣🤣🤣 naomba jibu kama umehesabu na parking 28 so swali jengo limeanza juu ya parking au???
I like what the Japanese did on this road. Quality work