Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe.....lack of exposure ni ugonjwa kweli..hiyo dar yenu ni ajabu kwa standards za tanzania kweli.....lol
Hawana density kama hii. Magorofa ya Nairobi yanaonekana mengi kwa vile yameachiana sana nafasi. Mji una vichaka vya wazi vingi. Ukiyakusanya maghorofa yote ya Nairobi hayawezi hata kupajaza Kariakoo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
An electrified SGR ina sohphisication mvuto wa aina yake huwezi kulinganisha na non-electrified one, tofauti yake ni kama mbingu na dunia...Its time jirani atambue kuwa ameibiwa na mChina....
nangoja riot siku yetu inazinduliwa twitter itakuwa all war!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…