Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

still a good news! wacha kulialia [emoji23][emoji23]

mkataba unasema tutarudia deni baada ya miaka 20.. ya kwenu mliambiwa mrudishe baada ya miaka mingap hiv??
Halafu hiyo si awamu ya pili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawa wajinga wa kikunya wanafosi tufanane,
Wapambane na mitungi yao ya changaa.
 
I have been saying it here that SGR Tz is full loan na wajinga wengine wananipinga, haya here is another loan in the basket.

Kwanii hi habari hauijiui toka mwaka jana ..sasa hivi tumesign tu ndo kilichoenda kufanyika..nakumbuka hapo phase 2 ilikuaa ishaanza iko 20% hiv that money will finalize the phase 2 and even start phase 3 soon and its paid in 20years

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata local company Estim JPM kawaamini kwenye ujenzi wa first super highway Kimara-Kibaha wakati jirani wanategemea Uchina! Naamini makampuni binafsi yenye kujithibitisha uwezo yatafaidika sana na miradi ya ujenzi Dodoma!

Teargass
Estim wamekuwa wanapata tenda hadi Lusaka..kwa speed hii soon Tenda za Kenya zitakuwa zinakuja Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe phase 2 maelezo umeyasoma vzr hahahha tena hio phase two wametoa na Tanzania wametoa piaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Unaweza kuta hata hajafungua link aisome zaidi ya kukurupuka kuileta humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…