Okay kwahio ili upate shot kama hio inabidi utuletee Mombasa na Nairobi?! Usiku mwema.
leo kwenye mizunguko yangu, nikapiga hizi picha
ubungo interchange
View attachment 1354741
View attachment 1354742View attachment 1354743
SGR cable bridge ‘nkuruma’
View attachment 1354744View attachment 1354746
Hiki (SGR bridge) ni kipande jirani na BRT kkoo.. kuna complex structure flan hiv inajengwa.. sikuielewa.. juu kama watamwaga zege hiv
View attachment 1354748
View attachment 1354750
Mbona umempendelea ,,,,,hao huwa wana deploma za kuchunga mbuzi na degree za upigaji pasi clotherzWewe ni chizi lakini hujijui
Sasa chemistry na passengers wapi na wapi????
Nyie ndo wale wasomi uchwara,umesomea account ila unajifanya unajua saaaana engineering[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni kati ya wakenya wenye wivu mbaya sana humu 😂😂😂what is wrong with me posting these?? did i tag u? au ndo hasira?
Hahahaha, Hahahaha, hahahahasafi sana.. mpambane na magaidi sasa
Kuna mwehu naona anarukaruka humu naomba mnisaidie kumwambia naomba aerial shot ya Nairobi inayoonesha eneo lililojengeka kama hapo chini(miji yote mikubwa kuanzia London,Paris,New York maeneo kama haya yapo)
View attachment 1354735
Hii umepewa ni just part of kariakoo😁😁😁😁
Hii umepewa ni just part of kariakoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukhekhekhe part nyingine kariakoo hii hapa😁😁👇
We wa wapi wewe, yn mtu anatuletea updates za miradi inayoendeshwa kwa kodi zetu af we unamuita mshamba, mbn una wivu namna hiiHuwa mna ushamba ingine sijawahi elewa.vitu vya kawaida zinawateka akili kabisa......kweli mna catch up mingi ya kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila mmarekani hawaendi.....kweli hawa ni waviboko tu....kama punda alone hawawezi kujidefence kabisaH
Hahahaha, Hahahaha, hahahaha
Hata izrael....haijawekwa hata top ten ya majeshi bora duniani......Ila kawaingilie kwenye mambo yao ....utajua wako viphaohao wanasema KDF ni bora kuliko TPDF [emoji16][emoji16]
How many floors does this building has?
Wale wa kuhesabu floors waje wahesabu hapa.
Umehesabu ngapi kaka?Wale wa kuhesabu floors waje wahesabu hapa.
Macho yangu yanaona 37.Umehesabu ngapi kaka?
37 🤣🤣🤣🤣🤣 naona hamuna amani kabisaHow many floors does this building has?