Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,224
- 107,840
Nipe jina la treni wanatengeneza! Tusipoangalia tunaenda kufanywa majaribio soma hii!Hapana bro waturuki wachunguze sana kwenye technology wako vzr sana na ukitaka kuamini we subiri hii SGR ikamilike ndio utajua technology iliowekwa hapo nilipitia article moja inaonesha hii reli inayojengwa Tanzania itakua na ultra modern technology in Africa
Nafikiri jamaa kahitimisha kuwa huwa wanajitoa ufahamu kusema three blue towers. Hakuna sehemu Nairobi yenye majengo mengi kama hayo mpaka wameomba msaada Mombasa.So now is dar vs Nairobi + Mombasa 🤣🤣🤣
Hawa jamaa ni super silent in technology ila wako vzr sana bro ww subiri utajionea maajabu ya technology hakuna africa baada hii reli kuisha
Nafikiri jamaa kahitimisha kuwa huwa wanajitoa ufahamu kusema three blue towers. Hakuna sehemu Nairobi yenye majengo mengi kama hayo mpaka wameomba msaada Mombasa.
Hio Mombasa yenyewe ni uchafu tu🤣🤣🤣🤣Nafikiri jamaa kahitimisha kuwa huwa wanajitoa ufahamu kusema three blue towers. Hakuna sehemu Nairobi yenye majengo mengi kama hayo mpaka wameomba msaada Mombasa.
Picha imepigwa umbali gani hioUnahara tu na 3 towers.....lol.Hiyo dar yenu ya kawaida ni ajabu kwenu because ya lack of exposure View attachment 1354722
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mostly train zitatoka Siemens kwa taarifa mpaka sasaNipe jina la treni wanatengeneza! Tusipoangalia tunaenda kufanywa majaribio soma hii!
TÜVASAŞ can produce imported railway vehicles
TÜVASAŞ is in a position to produce imported railway vehicles | Turkey Kamu-Sen President Önder Kahveci, TÜVASAŞ break that shell and abroad no longer in a position to produce the imported railway vehicleswww.raillynews.com
Haya tuoneshe kariakoo, upanga na kijitonyama etc 🤣🤣🤣🤣 umeletewa picha za kariakoo umeanza kutapatapa humu ndani picha imepigwa over 40km lakini density inaonekana Nairobi hata slum zisingeonekana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Highrise concentration ends in cbd lol.......si huwa munaziita mabweni.
What changed today?View attachment 1354728
Sent using Jamii Forums mobile app
It’s not photography, This building halina mshindani hapa EA.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hao estim sio watu wazuri...kazi zao ni balaaAccording to the Estim, The contractor that Built , the Tower TPA is 40Fl, 162 M and PPF HQ is 37FL. The information has been added recently. If you have anything solid , Bring it here .
View attachment 1353512
View attachment 1353513
Sent from my iPhone using JamiiForums
now bring the picture of panorama view of Nairobi taken over 20 km away! mind u Dar city (1,590 km² ) is bigger than Nairobi city (696 km²) plus Mombasa city (294.7 km² ) plus Kisumu city (smaller than Mombasa) plus Nakuru Town (smaller than Kisumu) plus Eldoret town (smaller than Nakuru) all combined!Highrise concentration ends in cbd lol.......si huwa munaziita mabweni.
What changed today?View attachment 1354728
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwehu naona anarukaruka humu naomba mnisaidie kumwambia naomba aerial shot ya Nairobi inayoonesha eneo lililojengeka kama hapo chini(miji yote mikubwa kuanzia London,Paris,New York maeneo kama haya yapo)
View attachment 1354735
Wewe ni chizi lakini hujijuiPhD in chemistry na hawezi tofautisha Kati ya Air hostages na passengers? Hio PhD ni ya kununua vile kizungu yake ni ya buku 7
Video ya Northern Nairobi pia nimewapostia sijui macho ndio hamna.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay kwahio ili upate shot kama hio inabidi utuletee Mombasa na Nairobi?! Usiku mwema.
watakuambia hao ni watanzania wakati sura zao zaonyesha kabisa ni mungiki hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saidia hii middle income........
Fake is fakeView attachment 1353933View attachment 1353934View attachment 1353935
Sent using Jamii Forums mobile app