Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂 😂 😂 Siku hizi wameamua kuongeza floor count za buildings zao. Jumba la 27 floors unaambiwa ni 30 floors. Hii tena leo imekuwa 37 floors!!!! Wanatia huruma
Buda, mimi pia nilienda kwenye hili jengo ni 37 floors, ukiendelea kubisha utaumbuka nakwambia
 
Buda, mimi pia nilienda kwenye hili jengo ni 37 floors, ukiendelea kubisha utaumbuka nakwambia
Going to the building is not a problem, you can go as many times as you wish. Just she us those 37 floors
 
So washamaliza ujenzi na wamesema 40floors wewe unataka waseme ngapi 20 au😁😁😁 hvi mbona munakua kama maboya hvi
So PPF is still under construction? Meaning it has not topped out? Hehehe Mnachekesha sana saa zingine
 
So PPF is still under construction? Meaning it has not topped out? Hehehe Mnachekesha sana saa zingine
Ppf ishaisha ujenz na aliejenga kasema 37 floors so we unataka aseme nani 🤣🤣🤣🤣🤣 au unataka kenyatta ndio aseme
 
Kwa hivyo floors zingine zimefichika ndani ya hiyo wall ama point yako ni nini?
Ndio hua mahesabu floors hvo 500m away from the building hvi kwann hua munaujinga sana 🤣🤣🤣 aliejenga jengo anakwambia 37 floors we uko km 900 na dar unasema 33 yani tukuamini we mpuuzi
 
Ppf ishaisha ujenz na aliejenga kasema 37 floors so we unataka aseme nani 🤣🤣🤣🤣🤣 au unataka kenyatta ndio aseme
Kusema 37 floors sio shida, shida ni kwamba huwezi tuonyesha ziko wapi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…