Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,152
- 107,717
Hivi wahusika wanashindwa vipi kupatengeneza hapo bichi ya posta na kuruhusu watu wajivinjari? Nilipokuwa mtoto tulikuwa tunakwenda kucheza hapo.
Na hizi chocha zote Mombasa ina port kubwa kuliko Dar and its the 2nd largest city in Kenya while Dar is the main city in Tz.
They built some three blue towers and a brt that snakes its way through uswazi sasa wanaona wamefika kiwango cha kushindana na Nairobi
Wewe unataka kujidanganya wakenya wote wanaishi kwenye nyumba nzuri wakati tunafaham mmezungukwa na dozens of slums in NairobiTanzanians are wasting their time proving nothing. I don't know how that will help millions of them living in grass thatched mud houses
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile channel ni ndogo kuruhusu watu kuogelea na shughuli za meli bandarini, soko la samaki na ferry ya Kigamboni kiafya si salama! Mbona beach za kuogelea zipo ngingi tu na safi mpaka utake kuogelea bandarini! Kigamboni yote na Oysterbay pia!Hivi wahusika wanashindwa vipi kupatengeneza hapo bichi ya posta na kuruhusu watu wajivinjari? Nilipokuwa mtoto tulikuwa tunakwenda kucheza hapo.
Wewe unataka kujidanganya wakenya wote wanaishi kwenye nyumba nzuri wakati tunafaham mmezungukwa na dozens of slums in Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siongelei kuogelea bali kupumzika tuu, wapatengeneze ili watu wapunge upepo mwanana wa bandari salama.Ile channel ni ndogo kuruhusu watu kuogelea na shughuli za meli bandarini, soko la samaki na ferry ya Kigamboni kiafya si salama! Mbona beach za kuogelea zipo ngingi tu na safi mpaka utake kuogelea bandarini! Kigamboni yote na Oysterbay pia!
Our SGR is working. Only God knows when yours will start workingBRT
Modern Bridges like the Mighty Kigamboni and Salenda
More high rising skyscrapers than Nairobi
Electric SGR
Modern and the Largest Airport in the Region
Modern transport system (Land and Marine) mwanza alone got more vessels than the entire Kenya,
More Luxurious Hotels in Dar than Nairobi a reason Tz earns as twice as Kenyas tourism revenues.
Regional Modern health facilities (Kenya, Ug, Zambia, Rwanda and Burundi ) all flocks to Dar seeking for specialised medical treatments,
.....the list is endless.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inahitajika waterfront kama hii ya DohaHivi wahusika wanashindwa vipi kupatengeneza hapo bichi ya posta na kuruhusu watu wajivinjari? Nilipokuwa mtoto tulikuwa tunakwenda kucheza hapo.
Haswa, kama walivyofanya Luanda pia.Hapo inahitajika waterfront kama hii ya Doha
You see??? We are not in the same page. You can't force us tuwe Kama nyinyi. Sisi maisha ya dream houses hatuwezani nayo. We live in well-planned and organized neighbourhoods, not some squalors christened dream houses! No, we ain't boarding! Dream houses are not our cup of tea ๐ ๐Tupo proud na dream house zetu sio hayo Maboksi ya kuhifadhia vile vifaranga vya nyama ambayo humo ndani ukipumua hali ya hewa inaharibika kabisa ๐๐๐
This is you trying to establish facts that do not exist. Bla bla bla bla watu mnaenda kazini kwa matatu.....yaani hata daladala za kawaida Dar hamna na hiyo brt mnayopaka lipstick barabarani hebu leta proof kuwa inajengwa kwasababu I know for sure kuwa ni big ass white elephant....with them ugly buses lolOur BRT is working. Only God knows when yours will start working
How you expect Nairobi to have bridges is beyond comprehension. You are a Danganganyikan anyway, you can't reason so I totally understand.
That 'mordern and largest' airport is not handling even a quarter of what JKIA is handling. It is not even rated anywhere. JKIA is rated in the top ten in the continent
If BRT is the mordern transport you are referring to here, even Nairobi is building one.
Nairobi has more five-star hotels than Dar and this has been proven here so many times so I don't know what luxury mean to you.
I would love if you could list those 'regional hospitals' and where it is stated that they are regional hospitals.
And lastly, you can bring that endless list as well, I would love to know what it is
It's a GAME OVER!
Mdanganyika can't offer any meaningful lesson in life. Kwanza jipe elimu ndio uanze kuwapa wengineNi kawaida kwa chokoraa kama weww mwenye ukichaa kamwe huwezi kufundishika...
.....life inakuchapa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba hamuwezani nayo ni kwamba hamna sehemu za kujenga wala uwezo huo๐๐๐You see??? We are not in the same page. You can't force us tuwe Kama nyinyi. Sisi maisha ya dream houses hatuwezani nayo. We live in well-planned and organized neighbourhoods, not some squalors christened dream houses! No, we ain't boarding! Dream houses are not our cup of tea ๐ ๐
Kibera is giant slum[emoji44][emoji44][emoji44]8:00
Sent using Jamii Forums mobile app part of thika road to cbd aerial view
The true definition of a Rusty TownJust moshi hebu have a look๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
View attachment 1349620View attachment 1349621View attachment 1349622View attachment 1349623
Yes it is a slum because land is very expensive in our city. By the way the level of income in Kibera is higher than the per capita income of Tanzania by far. Infact, most of your fellows in Kenya live in slums.Kibera is giant slum[emoji44][emoji44][emoji44]8:00
Sent using Jamii Forums mobile app part of thika road to cbd aerial view