Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What I know is this👇👇👇🤣🤣🤣🤣
 
Mwambie hata mtwapa imekua Mombasa since time immemorial lakini of let imewekwa kilifi for administrative purposes.
Huelewi mambo ya Kenya hataa. Miji kama Malindi, Watamu na Lamu ndio tunaweza sema haziko related na Mombasa hata kidogo lakini for Diani, you can make all arguments but it's part of Mombasa, only difference is where they pay their taxes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah mbona kama vile ni takataka sio floor watakuwa wanaishi watu au wanyama coz haina hadhi ya kuishi binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko na ujinga sana. Unafikiri Nairobi ni kama Dar ambayo watu wanaishi ndani ya cbd? This is an organized city
 
Wabongo njooni muone floor kutoka kwa engineer wa kenya🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View attachment 1347791
Wewe siku zote tunajua uko na uelewa mdogo sana Watanzania vitu unazosema. The most confused danganyikan here. Just yapping for the sake of it. Kwani ni lazima ucomment? Am sure even your fellow Tanzanians are wondering what kind of a person you are. Very uninformed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…