Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti enhh so ww ndio unakielewa sana so tusimamishe ujenzi hapa sawa🤣🤣🤣👇👇
View attachment 1340281View attachment 1340282View attachment 1340283View attachment 1340284
Tatizo hawana pesa ya bando ili waangalie hizo videos wasikilize na maelezo yanayo tolewa na hao mainjinia,
Au alitaka tujenge kama zile zao za kupanda juu halafu unashuka chini kupanda treni 😂😂😂
Yaani ni kama Wachina walilazimishwa kujenga hizo station zao za mitungi ya changaa.
 
Tena maelezo yametolewa kwa kiswahili ananiambia mm sijui kiingereza🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…