Lakini haijaisha hapo kijitonyama usije ukafkiri umeimaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inapatikana hizo sehemu zote [emoji23] [emoji23]
Na mbona ulikitumia???...hivi unajielewa kweli mrs potty??Hey Potty, what is Kiswahili? How can it help me?
Kijito baby
View attachment 1335544
Duuuh hakuna kitu wakenya(nyani) wataishinda tZ..kwenye city tunawakamua,hadi villages nazo tunakamua..
Mkenya anazungumzia paints👆👆👆👆New York of Africa that can`t even afford to buy paints and paint their buildings?
View attachment 1335491
Walker255 ndo nani!???..mume wako au..?Jipeleke kwa Walker255 anataka kujisaidia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wameanza kuchanganyikiwa na dar kupitia picha tu,sasa wakija dar si watakuwa wanapotea potea tu kila mara..Unafananisha hii sio millenium fala wewe hio ni NSSF tower ilala ushaanza kuchanganyikiwa🤣🤣👇👇👇👇👇View attachment 1335546
Kijitonyama DarUtalia sana, bado hujalia. Kwanza ukipenda post hata picha milioni kumi but here is how things are on ground.
View attachment 1335343
Kwanza tunaishusha hadhi kijitonyamaAti wanataka kufananisha Kilimani na takataka kama kijiko na nyama (kijitonyama)
Here is Kilimani.
View attachment 1335368
NaamKilimani is dope.....no uswazis whatsoever View attachment 1335380
Sent using Jamii Forums mobile app
NaamDaresalaam nayo kizungumkuti tu......hakuna tu zone inavutia 100% lazma ukutane na vituko pembeni...lol
Sent using Jamii Forums mobile app