Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia kukuuliza he unaeza kudanganya mm kushusu kenya????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hakuna sehemu sijafika Kenya wacha nikwambie bro juzi kati nilikua kisumu nakuru na Nairobi na hii juzi last week nilikua Mombasa na malindi
Kama unajua Nairobi then unajua difference ya downtown na uptown ukipita Tom Mboya street
 
Kama unajua Nairobi then unajua difference ya downtown na uptown ukipita Tom Mboya street
Downtown CBD ni kama Pete na kidole zimeshikana kama ngozi ya takoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uchafu uko pale pale
 
Downtown CBD ni kama Pete na kidole zimeshikana kama ngozi ya takoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uchafu uko pale pale
Ufala tu lakini unajua difference ni kama mchana na usiku. Hata hewa hubadilika
 
kwa macho tu naona maximum 8 lanes πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kibaha highway 8 to 12 lanes
Morocco mwenge 8 lanes

Na zote zinajengwa kwa pamoja huku ubungo interchange ikiwangoja of it's kind in east and central africaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ bado interchange mbili za coco beach na agakhan zikiwangoja kuunganisha bridge ya new salender πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mwaka huu mutaimba vzr
 
Huwez kupata slum mpaka yesu ashuke πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
LOL jamaa fala sana
Eti anazoom out ili ionekane congested, anajua akizoom in ataaibika

Wakiambiwa Dar hakuna slums kama Kenya nzima hawataki kukubali

Matokeo yake wanaforce Google Earth ioneshe slums πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Haya ni makazi ya kawaida Dar lakini huko Nairobi yangebatizwa "ESTATES" πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hii barabara naona tatizo fulani hivi sioni kama kuna service road yoyote iliyojengwa na wala sioni kama itakuwa na mabega ya kutosha. Kwa barabara kubwa kama hii inayotoka mjini nadhani ilipaswa kuwa na service road kubwa. Anyway ngoja wamalize kwanza lakini ni kama naona kwenye design yake kuna kuna problem kubwa. I stand to be corrected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…