Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I said it here[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tanzania is the only country that her budget is 50% grants and donations, today wameonewa huruma tena[emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hapa ungeweza sema kwamba wazazi wengi hawajui tofauti ya tuition fees na school fees wao pesa wanayolipa shule wanaona n school fees ndio kilicho mtatizo hapo juu kwa io kutumika neno school fees kwa wananchi wa kawaida na ukakuta ni other expenses ni kawaida hata wazazi bongo kuna time wanachanganya ada na malipo mengineyo nazani kitu kama icho ivo issue kwa hao wazazi n expensive fee ila wao wanasema school fees maana hawaoni dfrnt

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Simply Kenya hakuna elimu bure kama Tanzania, serikali inalipa kila kitu mpaka mitihani na vitabu

Kenya mwanafunzi anapaswa kulipa pesa za mitihani kila weeks na remedials kila siku, sasa hiyo elimu bure inatoka wapi? Bado michango mbali mbali
 

Simply Kenya hakuna elimu bure kama Tanzania, serikali inalipa kila kitu mpaka mitihani na vitabu

Kenya mwanafunzi anapaswa kulipa pesa za mitihani kila weeks na remedials kila siku, sasa hiyo elimu bure inatoka wapi? Bado michango mbali mbali
Kwa hivyo watoto siku hizi wanafanya mitihani kila wiki?
 
Naiomba serikali ya Tz iendelee kuagiza hz bus toka china hzo body anazotengeneza uyo muhindi wa kenya bora tuwape nyumbu watengeneze
Hakuna hata ๐Ÿ”ฉ ya tyres inayotumika na BRT inatoka Kenya

Hizo zilikua hekaya za fabricators wa Kenya kutengeneza fake ๐Ÿ“ฐ ili kuishawishi serikali yao iwape tenda

Buses zote za BRT zinatoka China

 
Ingekuwa imetokea Tz wangeshaipost saa nyingi sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama mji wao mkuu upo hivi huko kwenye counties zingine si ni balaa.
LOL wananiachaga hoi tu wanavyoita mitaa yao "ESTATES"

Hili la maji machafu halistui sababu it's obvious that water is a permanent crisis in Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ