Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If we don't have the capacity to produce them, you wouldn't be riding in those brt buses in Dar right now coz we made them ourselves. I know that's the bitter pill you don't want to swallow
 
Fuatilia chanzo cha hiyo post uelewa kinachoendelea kwanza kabla ya kutoa povu. Mbona unawashwa na pilipili usioila? After understanding what's going on in the previous pages then come and engage me
Buda wewe ndio huelwei kinachoendelea, mimi nlimquote ichoboy, then Geza n then wewe ndo ukaniquote. Na mimi sikutaka story zilizopita isipokua kucomment kuhusu mapipa yaliyobondwabondwa, sasa hapo nani kimbelembele
 
Nioneshe bus la brt lolote lililopo Dar lililotoka Kenya. Na hiyo report yako imetoka mei 2018 na 2019 yakashushwa bandarini mabasi kutoka china, huoni kuwa hiyo ni kiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…