Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is the simple concept that this bongolala cant understand! 😂 😂 😂 kweli duniani kuna watu na viatu
 
Kenya wanasema nao wana mall Hawa jamaa zetu wapumbav sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu kuwa Tanzania ni top tourist source ya Kenya au haufahamu hiloView attachment 1321570

Sent using Jamii Forums mobile app
The earlier you guys realize we're bound at the hip ndio mtaacha hizi competition and work together to build a wealthier region. We only have political boundaries but share a lot. Kenyans also have a significant share in Tanzania's tourism revenues.
 
Ahahah yani umenichekesha sana juzi ulienda kisumu kwenye harus pale border namanga gari za Kenya zinazo kuja tz hazihesabiki yani kuna folen balaa lakini kwenda Kenya huchukui hata dakika 10
Foleni ni ya kuenda kutafta biashara na pia mko na restrictions kibao. Hakuna kitu rahisis kama kuingia Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…