Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Sasa ndo maana nimekwambia ni important kwa nyanya ako,kipi usichoelewa??π π π π I can feel your pain bro. Maybe you can tell this to tens of multinationals and UN bodies that have made the Kenyan capital their regional, continental or global headquarters. Just in case you didn't know, World Bank carries out all of its Tanzanians operations from their Nairobi office same as United Nations. Niendelee? π π π π
Which organization/website is that? Is it a reliable source? Or is it just one of those blogs looking for clicks?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Is Kenya not part of East Africa Mr. Know-it-all?Ebu usiwe mjinga bwana natural calamites..jaribu kuelewa posti yangu nimekwambia jengo lolote east africa,si kenya pekee linaloweza ku-match TPA tower
UN wamejenga nini Nairobi? Unafikiri sisi ni kama nyinyi ambao kila jengo linajengwa na kumilikiwa na serikali?Sasa ndo maana nimekwambia ni important kwa nyanya ako,kipi usichoelewa??
UN wameona jinsi wakenya hawana uwezo wa kujenga nairobi wao wenyewe kwa hiyo waliona ni kheri waje waongezee nguvu,hivi ulishawahi kujiuliza kama hao wazungu wa UN wasingekuwepo hapo nairobi ingekuwaje?? Nairobi ingekuwa na vichaka na slums kila kona,hamuwezi kujenga nyie mnachoweza ni kujenga kibanda ya mabati tu
Again you are bringing a forum as a source! π π π π π see?Huo mjadala ulishaisha pitia hapo
Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki
Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki
Tanzania tops the East Africa on The list of Countries with highest paying Jobs. 1. Libya-1713$ 2.Zambia-1482$ 3.South Africa-1188$ 4.Namibia-753$ 5.Mauritius-666$ 6.Tanzania-422$ 7.Morocco-402$ 8.Zimbabwe-352$ 9.Ghana-313$ 10.Algeria-295$...www.jamiiforums.com
UN wamejenga nini Nairobi? Unafikiri sisi ni kama nyinyi ambao kila jengo linajengwa na kumilikiwa na serikali?
Again you are bringing a forum as a source! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] see?
Read word by word, from A to Z without skipping even a comma then funga account yako forever. π π π πBring me any source saying otherwise, nitafunga account yangu ya jf
Ya sisiemu π π πSerikali ya China?
Mbona mgumu kuelewa!?!?? Nimekwambia east africa yote na kenya ikiwemo,hakuna jengo attractive kama TPA tower,kama lipo liweke hapa,mbona unayumba?Is Kenya not part of East Africa Mr. Know-it-all?
Kenya yoooote jengo zuri ni ile ya mchina GTC nayo bado haijaisha...UN wamejenga nini Nairobi? Unafikiri sisi ni kama nyinyi ambao kila jengo linajengwa na kumilikiwa na serikali?
Attractive Kivipi? Ki akili yako ama? Ni wapi imesemekana kwamba it's the most attractive in EA?Mbona mgumu kuelewa!?!?? Nimekwambia east africa yote na kenya ikiwemo,hakuna jengo attractive kama TPA tower,kama lipo liweke hapa,mbona unayumba?
Sio K24 pekee leta studio yoyote inayoongoza Kenya nzima narudia tena Kenya nzima ukipata ulete hapa ipo dawa yako π€£π€£π€£π€£π€£
GTC ni nzuri Kwa lipi? Where has it been ranked as the most beautiful in Kenya? Yani wewe kwako bora tu jengo ni la glass basi ni nzuri !!! There's more to just glass facade that makes a building beautiful.Kenya yoooote jengo zuri ni ile ya mchina GTC nayo bado haijaisha...
Nyie mnaweza jenga mabanda tu ya bati na ghorofa uchwara ambazo kila siku tunaziokota kule mathare
Wewe ni mjinga kila siku nakwambia kitu kizuri si lazima kiwe ranked,sisi sote tuna macho na tunaweza kuona kipi kinavutia na kipi ni ugly.. majengo yote ya kenya ni majengo mabaya mabaya hiyo ni fact,GTC itakuja kuwa nzuri kiasi cha kuweza kupambana na majengo ya darGTC ni nzuri Kwa lipi? Where has it been ranked as the most beautiful in Kenya? Yani wewe kwako bora tu jengo ni la glass basi ni nzuri !!! There's more to just glass facade that makes a building beautiful.
Attractive Kivipi? Ki akili yako ama? Ni wapi imesemekana kwamba it's the most attractive in EA?
Hiyo ni studio au night club????ππππππView attachment 1318829
Citizen tv
Sasa ingefaa useome kwamba kulingana na wewe, unaona kwamba TPA is attractive ila usiseme kwamba ndio jengo attractive kushinda zote EA Kwa sababu watu wako na mtazamo tofauti na pia hakuna orodha inayosema kwamba it's attractive kushinda zote. Pengine kulingana nami hiyo TPA ama GTC should not come anywhere close to being called attractive. You have a very rigid mind and please don't make us think or reason the same way you do or look at thingsWewe ni mjinga kila siku nakwambia kitu kizuri si lazima kiwe ranked,sisi sote tuna macho na tunaweza kuona kipi kinavutia na kipi ni ugly.. majengo yote ya kenya ni majengo mabaya mabaya hiyo ni fact,GTC itakuja kuwa nzuri kiasi cha kuweza kupambana na majengo ya dar
Na kuzungumzia glass,kwa sasa bado glass inafanya majengo kuvutia zaidi,huwezi kufananisha hiyo mnara yenu na mawasiliano tower utakuwa unachekesha raia..