Wao Mara moja kwa mwaka nyie kila siku askari wenu wanauliwa tena kwenye ardhi yenu alaf unasema una securityAta Manchester kuna terror attack ilihappen...terror attack is a world wide problem...nakusheherekea terror attack inaonyesha vile wewe ni mjinga wa mwisho
Tatizo lako wanjala unaongea sana mpaka wakati mwengine unaongea nonsense.....😀😀😀😀Mtu akikosa hoja huongea hivi wewe unavyofanya! Yaani ukifumaniwa na ukweli kubabaika kunaikuswibu!
Diamond wanyooshe hao mpaka wanyookeHii jamaa imekua NTV
Ako sawa lakini...kanaushauri mzuri sijui kina icho,kadoda na Annael walikosa nini...si muige mfano wa bro wenuDiamond wanyooshe hao mpaka wanyooke
Ngoja wajeAko sawa lakini...kanaushauri mzuri sijui kina icho,kadoda na Annael walikosa nini...si muige mfano wa bro wenu
Amewashauri nini? Hadi wewe umemsifia? Coz sio kawaida yako maana wewe ukiguswa kidogo huwa unaitukana nyapu ya mtuAko sawa lakini...kanaushauri mzuri sijui kina icho,kadoda na Annael walikosa nini...si muige mfano wa bro wenu
mna uhaba wa chakula,kaja kuwachangamsha kidogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ako sawa lakini...kanaushauri mzuri sijui kina icho,kadoda na Annael walikosa nini...si muige mfano wa bro wenu
kesho mlivyowajinga mtaanza kudharau kingereza chake,wakati yeye kaja kenya kutengeneza doo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Watching Diamond on NTV at University of Nairobi
View attachment 515000 View attachment 515001 View attachment 515002
Analipwa mamilioni akuje huku......acha upuzimna uhaba wa chakula,kaja kuwachangamsha kidogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
latest updates about food shortage in kenya.Analipwa mamilioni akuje huku......acha upuzi
Umepagawa na Nairob kwasbb unachanganya Arusha na Nairobi.Arusha sio Dar compare Dar to Nairobi: Nairobi uchafuMimi ni mtanzania nimeishi kote dar na Nairobi, hapa naona kuna confusion kidogo ya watu kusifia kwamba dar ina beach na nairobi haina beach, Seruously guys!!! Nairobi ni inland city guys sio kama dar ambayo ni coastal city, Hapa ni kama mnamfanya mtu mrefu apige magoti afu asgindane mbio na mtu mrefu...So irrelevant.
Back ti the discussion.....Nairobi lile jiji kulinganisha na Dar es salaam ni kujiaibisha...Hii sio vita ya kuangalia idadi ya comments zilizosifia jiji fulani, NAIROBI NI HABARI NYINGINE ...PERIOD!!!!! Nenda Nairobi ukae wiki moja utembee uone utofauti,
Wapi nimetaja Arusha jombaa😉😉 Nadhani kichwa inabidi ukipumzisheUmepagawa na Nairob kwasbb unachanganya Arusha na Nairobi.Arusha sio Dar compare Dar to Nairobi: Nairobi uchafu
True, huku we don't have that culture,Nyayo estate....ety bweni....hakuna estate ka hii tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]True, huku we don't have that culture,
Yaani nakaa kwenye Bweni na majirani Mobu.
Huku we have the so called informal settlement,
Yaani people buy a plot of Land in Town and build a house basing on individual requirements. You build a house of your dream. Maisha za mabwenini hatujazoea bwana. May be tutajatibu maana I see real estate is coming in dar as well.
Nimeshangaaaa mimi naona jamaa atusalimie tu basi hamna namnaDuh huwa nasoma tu napita, ila hii imenifanya niandike! Wewe umefika Brazil ? Kwenye kundi la Brazil Kenya haimo. Brazil iko kwenye kundi linaitwa BRICS....nchi ya Afrika humo ni South Africa tu.