Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanashangaa mvua inanyesha halaf the screen kwenye kituo cha mwendokasi inawaka....

hawajahi ona screen iki display wakati mvua inanyesha , kwao mvua ikinyesha zile screen zao huwa off

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushamba utakuua jameni!! Nani ashangae kuona screens za LDC yet tuko nazo kila Mahali Nairobi. All weather
 
Umejitolea kufundisha biology baada ya vyuma kukaza sio,don't worry bomu la machozi hua linawasha kwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't teach biology, I do research. In fact I was I was to go to Tanga to do a research on Chikungunya but unfortunately another group was chosen na mimi nikatumwa Jinja kufanya research ya ringworms. I'm beyond what you think I am.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu unataka kujaribu wenzako walishajaribu hapa wakalemewa so I don't know ni tactics gani unataka kumam nayo. Anyway the floor is yours you can ask anything.
Uelewa wako mdogo mno nimeona mahala umesema ulishawahai kufanya research ya ringworm nikiamua nikupe kibano ndo utajua hujui kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…