Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anagalia hyo video, dar ya sasa inakaa old town mombasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa sijui hilo soko la samaki walitaka liwe bagamoyo hivi kweli majirani zetu wanaakili timamu wanashangaa soko la samaki kuwa karibu na ikulu Kweli kunyaland ni mambulula wa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka tubaguane kama wao, ukiwa wa kipato cha chini huruhusiwi kujitafutia kipato sehemu yenye matajiri. Kuna barabara nairobi zinawekwa geti kama wewe ni mtu mweusi hupiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…