The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Sijishuku nimeuliza kwa kuwa hiyo picha imewekwa hapa mara mbili na sioni ubaya wake.
Kama tatizo lako ni ukungu (moss) kwenye hilo ghorofa la benki basi elewa hiyo inatokana na hali ya hewa ya Dar es salaam.
Hewa ya hapo ina ufukuto (unyevu nyevu), utokanao na matonetone madogo ya maji kutoka baharini, ambayo hutengeneza mazingira ya ukungu (algae/moss) kuota. Hata ukipaka rangi leo baada ya miezi sita kutaota ukungu mwingine.
Zaidi ya hapo sioni tatizo la hiyo sehemu na hasa ukizingatia hayo nia makazi ya watu (Dar, watu wanakaa katikati ya mji)
We komora096 hyo pcha mbn nzr tu au we unaonaje unajua kuna pcha jamaa yenu kazipost hapa nmeshangaa kwmb amekosa pcha mbovu za Dar mpk anapost pcha nzr [emoji23][emoji23] kwel Dar mpya kiboko
Estate gani ya kushtua apo Nairobi?Usihofu na Gtc,river estate ndio itawapa mshituko wa moyo zaidi...kwa sasa wamemaliza eneo la mto na nguvu yote iko kwenye excavation. After holiday ndio kazi sasa inaanza lasimi, sasa battle itakua Ngara vs Dar over 30 floor.....Ngara nane nayo Dar saba pekeView attachment 1307982
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uwezo mdogo wa kufikiri kwa wakenya wengi ni tatizo kubwa sana.View attachment 1308037
View attachment 1308038
Sasa picha kama hii mvua inanyesha alitakaje sijui?!!!mi sioni tatizo,it is raining.Labda wakenya mje mtusaidie mlitaka pawaje wakati huu wa mvua.
Tena na mvua yote hiyo lakini bado pasafi hakuna hata mrundikano wa uchafu pembeni, sijui ni wivu unamsumbua?View attachment 1308037
View attachment 1308038
Sasa picha kama hii mvua inanyesha alitakaje sijui?!!!mi sioni tatizo,it is raining.Labda wakenya mje mtusaidie mlitaka pawaje wakati huu wa mvua.
Looks like Mombasa....kweli Kwa ground no nomaNitofautishie mwanangu walahi Mimi nimeshindwa.Maana hii CBD yenu sipati picha.View attachment 1307266View attachment 1307268View attachment 1307271View attachment 1307272View attachment 1307273View attachment 1307274View attachment 1307276View attachment 1307278View attachment 1307280View attachment 1307281View attachment 1307283View attachment 1307284View attachment 1307285View attachment 1307286View attachment 1307287View attachment 1307288View attachment 1307289
Sent using Jamii Forums mobile app
Looks like Mombasa....kweli Kwa ground no noma
Yeah! it shows the way we run east africa..Nihamie soko la samaki 😂 😂 😂
Kuna ubaya gani soko la samaki kuwa karibu na Ikulu? Umetembelea nchi ziliziendelea? Tena most modern market in East Africa?
Mbona Ikulu Nairobi ipo karibu na Sego slum!?
Sego: State House slum where there is no ‘ngeta’
NaiNotepad By James Mwangi 2 years ago
Share this Story
Sego slum [Photo: Courtesy]
Residents of Sego slum neighbour President Uhuru Kenyatta’s State House and other affluent jiranis, never mind their lives are worlds apart.
The slum is tucked between State House Road and Jakaya Kikwete Road in Nairobi, where about 300 residents enjoy social services other slum dwellers can only dream of.
Initially, Sego was called Kilimani until early 2000 when it was renamed Sego, after a bar called Chego (milk) then owned by a Mr Kimaiyo
— who relinquished ownership and Chego changed hands.
There is one other bar in Sego. Mzee Felix Gikandi, 70, has lived in Sego for over 40 years and recalls retired President Mwai Kibaki waving at them.
The rest of the jiranis are strangers with they have never had run-ins, except for the case of one operative of the defunct City Council who tried to have the slum flattened.
He met spirited resistance from the mzeesfamily that came to Nairobi from Nyeri at the cusp of independence in the 1960s.
Mzee Gikandi and his five brothers own the three and half acres, which is a family inheritance bought from the whites in early 1960s
— their initial home reportedly went up in flames in 1998 and they put up cheaper houses.
They are planning to upgrade Sego though.
Sarah Nyambura, a resident, says that though interaction with their wealthy neighbours is almost nil, they never lack water and electricity which are in constant supply.
Sego residents fork out Sh5,000 per month for old school stone houses compared to over Sh100,000 per month for the well-heeled who live in the neighbouring Caledonia area.
Unlike other slums, security at Sego is so tight. “I can’t recall the last time we experienced case of thuggery or mugging while walking around,” says Nyambura.
“We enjoy good protection and can walk to and from town even late at night without fear,” she said.
Sego sits on three and half acres and is famed for cheap food with a majority of customers being security officers at State House, employees working around Kilimani area, the city centre, Hurlingham and along Dennis Pritt Road.
Residents operate food kiosks while others work in the city, Their children attend State House Primary School, a public school, but because of the perception that they live next to State House, their needy kids don’t get bursaries.
No matatus ply the route. Walking is the preferred way of commuting to town, school and church.
For recreation, Gikandi says residents pass time in area pubs or go to mung’etho (zubaa) around the city centre and Hurlingham.
Sego: State House slum where there is no ‘ngeta’
The slum is tucked between State House Road and Jakaya Kikwete Road in Nairobi, where about 300 residents enjoy social services other slum dwellers can only dream of.www.sde.co.ke
Dah hii kali yani hapa ikulu pale slum🤣🤣🤣😂😂😂ikulu gani ya Nairobi iko karibu na slum?
Nairobi CBD surrounded by slums
Kumbe ulikuwa unachungulia tu[emoji1787][emoji1787]Naona umeanza kuziokotaView attachment 1307816View attachment 1307817View attachment 1307818
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaishi dar!!!...hivi kwa nini hamtaki kurudi kenya,nyie kwenu mna maisha magumu hamna utofauti na wa-ethiopiaNimetumia kiswahili chepesi mno Cha kueleweka na kila mtu ,sijasema naishi dar usitie maneno kinywani mwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Af ukiwaangalia tu unajua uyu Mungiki uyu mweusiii af iyo sura ss heheheheeWewe unaishi dar!!!...hivi kwa nini hamtaki kurudi kenya,nyie kwenu mna maisha magumu hamna utofauti na wa-ethiopia
Sasa mnataka arudi Kenya juu amewaexpose. Ichoboy si naye amekataa kutoka Kaloleni slum, Kisumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unaishi dar!!!...hivi kwa nini hamtaki kurudi kenya,nyie kwenu mna maisha magumu hamna utofauti na wa-ethiopia
Hawezi kurudi kenya kutokana na kenya kuna maisha ya hovyo,kuna mtu anapenda kulala dandora,mukuru au shego slum near the state house..
Niliona notification nikaingia.