Hawa ni wanasarakasi. Ukiingia pale google earth utazame jinsi Dar ilivyo, utacheka ufeYani nilicheka sana..
Yani tanzania baada ya miaka mitano au kumi mtaa unabomolewa na kujengwa upya...hawa jamaa watakua matajiri sana walai[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana. If someone calls Kaloleni a slum, then I don't really know what to call Tandale, Masenze, Mwananyamala, Mbagala and other areas where dream houses are found π πKwa ground ni tofauti
Bro, una utu kweli walaimeshindwa kucomment ila nazani ni watu hatujaeliwana kuhusu mfumo wa makazi kwenye hizi nchi mbili ni tofauti kidogo ndio maana kila mmoja ana tukana wenzie hapo kaloleni naona ni pazury ki huduma sema makazi ya watu ndio yanaaibisha hapo kaloleni ila hapo mbagala hapana mpangilio hio ni moja barabara nyingi upana mita tatu so ukipiga picha juuu sana utakuta huoni kabisa road ndio maana watakuambia zoom ili uone ukweli barabara za kwenye makazi bongo ni for one car kumove around na nyingine hata hilo moja linapita kwa shida ila ukienda apo apo mbagala utakuta nyumba duni ni za matofali hatakama hazijapigwa plasta pia utakuta hakuna uchafu to extent unlike sehemu nyingi duni zinazopostiwa hapa kibera na uchafu pia ni tatizo kwa io ukija ku conclude utagundua kaloleni iko arranged na inaonekana vizury ila wakazi wake hawajajiweza vizury bado ila mbagala makazi yapo randomly ila wakazi wake wamejitahidi kujiimarishia makazi yao yaonekane pia gharama kujenga dar n affordable sana maana mchanga ukichimba choo ndio huo utafytulia tofali nakathalika ndio makazi duni 99% dar utakuta yana kuta bora japo yako ajabu au finishing sio nzury mfano hio clip iliyoekwa apo n project ambazo zinaendelea baathi ya sehemu kwa ajili ya improvement of unplanned settlement chini ya dmdp unapunguza kwa percent fulani makazi ambayo hayajapangiliwa kwa kuongeza upana wa barabara na kuzi pave kisasa ili makazi yawe kwenye mpangilio japo bado hayataishaa ila kwa asilimia tutayapunguza ila nazani wote wa kaloleni na mbagala wanapata maji na umeme na kituo cha afya ivo vinatosha kudetermine kuwa n binadamu wanaishi vizury muonekano wa makazi yao usifanye tuwaite hawa wanakaa kwenye slum as if sio human being muhimu wanapata huduma za kijamii basi kwangu n juhudi zao ku prove makazi yao hata kama hayajapangiliwa mfano kama ningeweza kushauri mngeeka program ya vyoo na usafi kibera amina pangekuwa panavutia usingekumbuka wanaishi low income that all i can say
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jenga duka au salon kw tofali km kiwanja sio chako..yeah okay kama pia n duka na salon bado hao machali wajikaze wajenge hata za tofali za udongo wa improve bussiness zao au we unaona ni sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Km ni mariama kigenda, lawama kw kenya ferry...
Watakwambia google earth ni ya zamaniHawa ni wanasarakasi. Ukiingia pale google earth utazame jinsi Dar ilivyo, utacheka ufe
Ama kwamba haileti uhalisia wa mambo kisha wakuambie uzoom π π. Sarakasi zao haziishi!
Kawaambie world bank waiandae
namaanisha wakazi wa kaloleni makazi yao bado hayajawa yakuvutia sana ila wakazi wa mbagala makazi yao sio duni kutokana na upesi wa kujenga nyumba za tofali dar pia ukichangia maeneo mengi tz tunaishi mixture yani hapa utakuta maskini pembeni kuna tajiri yani tuko mixture tajiri ananunua kiwanja mbagala akiona tu kuna sehemu ya kupitisha gari hadi kwake io imepita simanishi wakazi wa kaloleni ni maskini kuliko wa mbagala apana wote wanaweza wakawa sawa ila nature kwa wa mbagala ina mfavour maana yeye akichimba chini ni mchanga ivo anapata tofali kiulaini ila kaloleni yeye nature ikawaa haijamfavour sana ili kieka mazingira yake vyema ndio maana ukienda dar 99 nyumba zote n za tofali za mchanga maana ni rahisi ukija mbeya 80 ni tofali za udongo bila kuchoma maana nature ya udongo ina wa favour kitu kama icho ndio nnamanisha kama nimekosea kuhusu side ya kenya unaweza ukani correctSijaelewa Ulimaanisha nini unaposema wakaazi wa Kaloleni hawajajiweza vizuri lakini wa Mbagala wanajiweza vizuri. Ningependa ufafanue hapo kidogo ili Nielewe zaidi. Mambo mengine yote umesema ni ya kweli. Hawa wenzako naamini wamesoma ulichokiandika
no boss huku ni za chuma izi ni movable hasa hasa mawakala pia mbao ila kwa saluni na maduka mengi ni kwenye majengo ila pia kuna vibanda hivi ndio vya mbao na bati ila hizo n za kuuzia mboga mboga nyanya na masokoni ila kwa biashara kama saloon na maduka na nyingi ambazo ziko kijasiriamali wako kwenye kupanga fremDuka za bati hazipatikani bongo au?
anhaa kama ni ivo yote sawa ila its best property owner angejenga awapangishie mbona pangekuwa gudy vibaya mno ila hilo n tatizo lao wakishirikiana wanaweza improve makazi yao na biashara zaoHuwezi jenga duka au salon kw tofali km kiwanja sio chako..
Ndio manake wwngi wanaojiweza wanqjikombolea container
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana hamu na tanzania...Kawaambie world bank waiandae
Ziishe wapiAma kwamba haileti uhalisia wa mambo kisha wakuambie uzoom [emoji23] [emoji23]. Sarakasi zao haziishi!
Wanapost kwenye website yao kisha wanatweet kwenye social networks zao kama hivi.Hawana hamu na tanzania...
Wanajua ligi yenu ni ku tweet tu km mlivyozoea kupewa data na serikali yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashkuru kwa kutuonesha hotelsπππππThis is Kisumu Hotel where Ichoboy said he spent his time. Interestingly, he didn't manage to take any pictures here because he was "busy" according to what he said when asked.
View attachment 1305113View attachment 1305114View attachment 1305115View attachment 1305117View attachment 1305122View attachment 1305123View attachment 1305113View attachment 1305114View attachment 1305115View attachment 1305117View attachment 1305122View attachment 1305123View attachment 1305113View attachment 1305114View attachment 1305115View attachment 1305117View attachment 1305122View attachment 1305123View attachment 1305113View attachment 1305114View attachment 1305115View attachment 1305117View attachment 1305122View attachment 1305123
After leaving the hotel, he proceeded all the way to Kaloleni "slum" which is several kilometres away from the hotel to take pictures of people riding bicycles π π. On his way, he did not even see anything interesting to capture. Just to remind you, the area around Kisumu hotel is a very beautiful place with malls, hotels, banks (including the Central Bank of Kenya), parks and other places of interest. He did not see any of these but headed straight to Kaloleni to bring pictures of what he calls slums kufurahisha Watanzania wenzake. Below are a few places around the hotel where "he was". These are just meters away from the kisumu hotel (not even a kilometre!)
View attachment 1305126View attachment 1305128View attachment 1305129View attachment 1305127View attachment 1305138