Sindano uliyochonwa bila shaka hayo ndio matokeo yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi ni tofauti kutokana na
1)Unemployment rate
2)Crime
3)Disorganized
4)Cholera outbreaks
5)Slums
6)Dirty
7)Poor public transportation
9)Water scarcity
10)Poor condition of its riads
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingelikua sai unanionyesha hvyo vifaa hapa, lkn kinachonishangaza umeanza maneno ya khangaYaani unachekesha kweli mtu unaongea tu hovyo etty tuna jenga majengo ambayo hayana vifaa
Kweli chizi sio lazima aokote makopo hata maneno yake tu yanaweza kumtambulisha kuwa ni chizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nimeelewa kitambo onesha yako una asilimia ngapi kama sio 43%I know you are dumb so let me break it down for you in simple terms. Inamaanisha ya kwamba ukihesabu idadi ya watu wote wasikini duniani, watanzania huchangia asilimia tatu ya hiyo Hao watu. Kiufupi, Kati ya watu 100 masikini duniani (extreme poverty), kuna watanzania watatu. Umeelewa sasa
Why would I google something I already know about? I'm trying to educate you, don't try to make yourselves dumber by thinking that you are trying to get back at me with some shenanigans.Since you know where they are, si you just make it easier for both of us by showing us where they are 😂 😂 😂
Eti low class hawezi kula mahali km hapo...labda tanzania ndiko watu wa kipato cha chini hawajitumi hta siku moja nao labda waingia mahali ya kishua wajivinjari kw uvivu wao na ukataji tamaa wa maishaAcheni ujinga ninyi, hayo maeneo yote hapo kuna activities zinaendelea, iwe ni ofisi, mahoteli, viwanda, au biashara, watu wanaohusika katika hayo maeneo ni " middle class au upper class ". Usitegemee lower class citizen kwenda kufanya shopping, au kwenda kula chakula ktk restaurant hapo Moi avenue. Ninyi kwa akili zenu pungufu mnafikiri low class area lazima iwe ni residential, wajinga sana ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taabu inaendelea..... 😂 😂 😂 💀 💀 💀 💉💉Noma mzee Mungiki mmoja amenifata inbox anasema hzo boti mmefny editing tu iyo bendera ila ni America iyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio maneno ya khanga wewe umeoneshwa majengo ambayo yako underconstruction sasa unataka vifaa wakati majengo hajakamilika badoIngelikua sai unanionyesha hvyo vifaa hapa, lkn kinachonishangaza umeanza maneno ya khanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna unapindisha mada...Hawa jamaa hawana akili kabisa, wabadhani sehemu ikiwa low au middle income lazima iwe ni "residential", hawana akili hawa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingenge kingi huku hata evidence hunaWhy would I google something I already know about? I'm trying to educate you, don't try to make yourselves dumber by thinking that you are trying to get back at me with some shenanigans.
Kama huelewi niambie nikutafsirie. Nimekwambia kuwa, nenda google katafute kama hakuna apartments katikati ya jiji la nairobi. Tatizo ni nini kwani? Dharau ama ni kujifanya punguani? Haya yanaweza kuwa mashindano lakini kujifanya mjinga kisa kushinda hoja ni upuuzi tu. Wewe na Nixcie wote ni wapuuzi. Period!
Duh!!kwhyo mko mbele katika sekta ya health kw majengo yaliopo U/C...Sio maneno ya khanga wewe umeoneshwa majengo ambayo yako underconstruction sasa unataka vifaa wakati majengo hajakamilika bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuita mwenzako mpuuzi bila facts ni umamaKama huelewi niambie nikutafsirie. Nimekwambia kuwa, nenda google katafute kama hakuna apartments katikati ya jiji la nairobi. Tatizo ni nini kwani? Dharau ama ni kujifanya punguani? Haya yanaweza kuwa mashindano lakini kujifanya mjinga kisa kushinda hoja ni upuuzi tu. Wewe na Nixcie wote ni wapuuzi. Period!
Hii maneno lazma loss making KQ iwaume hawa watalii wangekuja kwa scheduled flights wangepata nyomi kiaina! Ila it's a good start for Air Tanzania while waiting to start scheduled flights later on!
Apartment imeingiaje, wakati kinachosemwa ni kuhusu hiyo video inayoonyesha maeneo ya middle class hapo Nairobi ni machafu na barabara zina mashimo. Mlipoambiwa kwamba hayo maeneo ni " middle class areas", kwa ujinga wenu mkasema sio middle class kwasababu hakuna watu wanaishi maeneo hayo. Ninyi kwa ujinga wenu unadhani lazima eneo liwe ni " residential" ndio linaweza kuwa " middle, lower au upper class". Stupid.Mbna unapindisha mada...
Au hasira zote hutaki kuskia km hayo maeneo hakuna appartments
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mjinga anaishi mombasa hafahamu hata Nairobi 😂😂😂 unamuonea bure tu.Kama huelewi niambie nikutafsirie. Nimekwambia kuwa, nenda google katafute kama hakuna apartments katikati ya jiji la nairobi. Tatizo ni nini kwani? Dharau ama ni kujifanya punguani? Haya yanaweza kuwa mashindano lakini kujifanya mjinga kisa kushinda hoja ni upuuzi tu. Wewe na Nixcie wote ni wapuuzi. Period!
Mbona unakana maneno yako mwenyewe? Is it not you ambaye amesema kwamba hayo maeneo wanaishi watu wa kipato cha chini hadi Unauliza eti watu wa kibera wanaishi Kivipi? Stop forcing things bongolala. Nairobi is ahead of Dar and will always be regardless of how much noise you make here. You can shout at the top of your voice here from morning to evening but that won't change anythingAcheni ujinga ninyi, hayo maeneo yote hapo kuna activities zinaendelea, iwe ni ofisi, mahoteli, viwanda, au biashara, watu wanaohusika katika hayo maeneo ni " middle class au upper class ". Usitegemee lower class citizen kwenda kufanya shopping, au kwenda kula chakula ktk restaurant hapo Moi avenue. Ninyi kwa akili zenu pungufu mnafikiri low class area lazima iwe ni residential, wajinga sana ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!moi avenue kuna mashimo?Apartment imeingiaje, wakati kinachosemwa ni kuhusu hiyo video inayoonyesha maeneo ya middle class hapo Nairobi ni machafu na barabara zina mashimo. Mlipoambiwa kwamba hayo maeneo ni " middle class areas", kwa ujinga wenu mkasema sio middle class kwasababu hakuna watu wanaishi maeneo hayo. Ninyi kwa ujinga wenu unadhani lazima eneo liwe ni " residential" ndio linaweza kuwa " middle, lower au upper class". Stupid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa vile namdunga sindano mwenzako huku si ajabu unajiuliza km nairobi naijuaje juaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo mjinga anaishi mombasa hafahamu hata Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23] unamuonea bure tu.
Si unaona unavyojifanya unajua ila hakuna hata kitu unajua! That is not even part of Nairobi downtown. Downtown Nairobi inaanza Tom Mboya street all the way to Nyamakima and includes areas such as Acrra road, River road, Luthuli Avenue, Kirinyaga road and so on and so forth. Do your homework well bongolalaAcha upumbavu wewe, point hapa ni kwamba, hizo barabara ni " part of Nairobi down town" kama ilivyo " Samora avenue " huku Dar. Haya maeneo sio maeneo ya low income group, iwe ni shopping, restaurants, au Working areas, these areas belong to middle income population ", acheni kutoka nje ya mada. Nairobi ni hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Joto la jiwe amesha pa rank tayari...ywadaisha km sio middle class area basi patakua ni upper class area[emoji1787][emoji1787]Mbona unakana maneno yako mwenyewe? Is it not you ambaye amesema kwamba hayo maeneo wanaishi watu wa kipato cha chini hadi Unauliza eti watu wa kibera wanaishi Kivipi? Stop forcing things bongolala. Nairobi is ahead of Dar and will always be regardless of how much noise you make here. You can shout at the top of your voice here from morning to evening but that won't change anything