The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Acha ujinga ww kuhusu road quality ipo Tz kwa east Afrika hii barabara za lami mpk uchochoroni ngj cku nkiwa free ntaenda mitaa ya uswazi kabsa af ntakuletea apa uone tofauti tatzo lenu nyie hamtembei mmebaki na Nairobi yenu tuLook at the roads, it's very quality. Ebu now show such kind of road in any residential area in Tanzania. Remember Kaloleni is a slum.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana hujaziona 🤣🤣🤣🤣🤣Start by zooming za kisumu unionyeshe slums
Chonde chonde bro unatakiwa uwepo site ukutane na ichoboy01 au mpe taarifa mda gn utakuwa free ili akupitie apo wkt anachukua picha[emoji23][emoji23]
Jamaaa mjinga, hta nmepuuza post yake..Ichoboy sasa fika CBD, fika Milimani, fika Airport, fika Mamboleo, fika Migosi alafu umalize na Lolwe then post the pictures here. You can't go to the slum alafu uanze kupiga domo hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeee!!haifai kwa sababu mwenzako kaenda kuchukua picha maeneo duni..
Kituko cha mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hivyo hizo nyumba za kisumu ni slums ila hizi hapa za Dar ni dream houses [emoji23] [emoji23]. Mko na shida sana nyinyi
View attachment 1302261View attachment 1302264View attachment 1302267View attachment 1302269View attachment 1302276View attachment 1302277View attachment 1302278View attachment 1302280
Achana na huyo kilaza. Don't you know the person you are dealing with? Kisumu hotel is not far from Central Bank of Kenya, Acacia hotel and West End mall, Prosperity House (the second tallest building in kisumu), Tuffoam Mall, University plaza and a host of other places. But he has deliberately chosen to overlook all those na kusema eti alikuwa "busy" while he had all the time to shot pictures in Kaloleni slum which by all standards look way better than their filthy dream housesHiyo umedanganya. Kama unaweza ati CBD ni uchafu then unajoke, if it's ukweli ati uko Kisumu hotel then this is the place, kando ya Tuffoam mall. Show me the uchafu you are talking about.View attachment 1302369
Sent using Jamii Forums mobile app
Hku wakati slums za kisumu zipo fresh hata kuliko uswazi[emoji1787][emoji1787]
Hehehhe umepanic sana aisee🤣🤣🤣Eeeeee!!haifai kwa sababu mwenzako kaenda kuchukua picha maeneo duni..
Tukitumia hicho kigezo, basi hata dar sio city manake 70% ni uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kiko organised lkn bado kw standard za kenya ni slum[emoji1787][emoji1787]Acha nimletee aerial view ya Kaloleni slum. Now this is Kaloleni slum from above.View attachment 1302286
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact[emoji382]]
Hehehhe umepanic sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uswazi middle class[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Now compare and contrast with the infamous dream houses of Dar. Then you wonder which one should be called a slum. These southerners still have a long way to go View attachment 1302300View attachment 1302301
Mbna hukupiga picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilipita CBD na westland kuelekea kisumu hakina kitu naona kipya nairobi alaf nairobi ni ndogo sana yani from CBD to westland just like 4 or 3 km yani ni karibu sana hata upperhill ukiwa CBD unaiona almost yote yani [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kitu utanidanganya kenya buda
Au arusha itakua branch alaf dar itakua hqSo inajengwa Dar na si Arusha? Kwanini?
Nilipita usiku sana alaf nilikua nawah harusi kisumu so sikua na muda kabisaMbna hukupiga picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au uliogopa[emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app