Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha upuuzi ww jiji lililopangiliwa haliwez kuwa na slums hv unaweza ukaongea mbele za watu na wakakuelewa kwel? Yn jiji limezungukwa na slums af unaliita ni planned yn we umelogwa co bure, the issue here is u can't compare dar with Nairoba cz nairoba has been surrounded by flying toilets everywhere full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uswazi ndio mnacho jua basi ni oneshe sehemu ambako kuko loow dar kama kibera nairobi ama slum nyingine huko ipo kama nanzese.Hivi hizo slums kwen kwenu ni invisible ama
Nilijua tu utakimbia[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nimekwambia wapi km dar kuna slums[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichokua nahitaji mm ni makaazi ya watu wa kipato cha kati...

Nakwambia walikimbia wengi hujaanza wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukumbuke wazungu walikuja kwenu kwanza kabla kuja huku.nadhani umeona 1950 nairobi ilikuaje semeni kenyata kawajengea hapo.Lakini yote yamepita na tunaganga yanayo kuja
Wacha kuwa na kasumba ya ajabu hiyo Nairobi unayozungumzia haina hiyo advantage anymore!
 
Halafu hii institute inafanyiwa mapanuzi soon I guess itakuwa kanda ya ziwa niliskia Ummy Mwalimu akiongelea hospitali ya kitalii ya kikanda. Naona kama vinahusiana!


 
At the end of the day, unalinganisha Dar na slums za Nairobi. What does that tell you? It means that outside the slum areas, hakuna mahali nyingine Nairobi unaweza linganisha na Dar. You see where the difference is? Nairobi has slums, we all know that. Hiyo kibera unayoonyesha hapa is only 2.5 square kilometres. Nairobi is 500 square kilometres. That's a very small area if you compare with the rest of Nairobi. But since you have no better residential areas than Nairobi, you and your fellows resort to throwing pictures of kibera here thinking we feel bad about it. No we don't because outside kibera and other slums, Nairobi is a million times better than your glorified fishing village
 
Hizi habari zinahusiana ama ni vyuo viwili?

NIT to become aerospace college
ippmedia.com/en/news/nit-become-aerospace-college


April 9, 2019
09Apr 2019
The Guardian Reporter
MOSHI
News
The Guardian
NIT to become aerospace college

THE Tanzania Airports Authority (TAA) yesterday handed over an area of 60ha to the National Institute of Transport (NIT) in a move to transform the institute into the College of Aerospace Sciences and Technology.



World Bank and the Chinese government have agreed to pump in US $ 83.5milion for the long-awaited project. The Bretton Woods Institution pledged to provide US $21.5million and Chinese government to release US$ 62million.

Speaking soon after the handing over function held at Kilimanjaro International Airport (KIA), NIT Rector, Prof Zacharia Mganilwa received the land for building infrastructures of β€˜College of Aerospace Sciences and Technology’.

The handing over event was between NIT board chairman Prof Bavo Nyichomba and chief executive director of Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO)
Prof Mganilwa said: β€œWe will use the area to train our aviation experts especially those undergoing aircraft pilot studies, engineers and air hostesses”.

He said conducting practical trainings within the country will reduce the costs since the government was spending about 200m/- to train a single pilot abroad.

According to Prof Mganilwa, the costs of similar pilot courses at NIT will be 72m/- for beginners and 30m/- for those with certain knowledge on the aviation sector. He said that once NIT starts to offer the courses, the number of aircraft pilots in the country will increase tremendously.

He added that practical studies will be provided efficiently as President John Magufuli has also promised to purchase two aircraft for the college. He said that processes for procurement of the aircraft are underway.

β€œWe will a total of five aircraft because the government has already secured a loan from World Bank to purchase three planes for the college”, he said.

Chairman of NIT national leaders’ council, Prof Bavo Nyichomba said the government has been spending too much money to train pilots abroad. He said the college is capable of offering such courses if well equipped.

β€œWe want to establish a centre of its kind which can receive students from all over Africa. Students from other African countries will be charged the same fee as for Tanzanian students”, he noted.
 
Yajayo yanafurahisha. We need to make this institution prestigious ili wanafunzi waje kutoka sehemu yoyote ile ila mwanzo ni mzuri.
 
ukumbuke wazungu walikuja kwenu kwanza kabla kuja huku.nadhani umeona 1950 nairobi ilikuaje semeni kenyata kawajengea hapo.Lakini yote yamepita na tunaganga yanayo kuja
Below are pictures of Dar in 1950s. Show me any difference between these Dar pictures and the ones you posted za Nairobi. Endeleeni kupiga kelele na kutafuta excuses pasipo na excuse
Dar in 1950s
33869119, member: 578927"]
Part of what you've shown above is present-day Kenyatta Avenue. Where's Teleposta Towers? Where's I$M Building? Where's Nyayo house? Hawa wazungu walijenga nini sasa?
 
Upuuzi ni kufatu visingizio Kwa sababu umeshindwa kwa jambo. That's the true definition of upuuzi. We got slums and the whole world knows about that. The most annoying or interesting part, depending on how you look at it, is that you compare your middle income estates with the slums of Nairobi! I think that should tell you something about your standards bongolala
 
Jidanganye wewe subili mwakani utajua ujui ndiyo maana sikuizi wakenya mbwembwe za kutukuza kingereza zimepungua sana siyo kama miaka 8 iliyopita ,baada ya kuona wabongo tunapambana na kiswahili chetu bila kujali MTU

Pia baada ya kupigwa kwenye SGR na Mandarin speaking people. Who don't know to utter even a single English word.
 
Slums covers only 5% of nairobi..upo danganyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaingia juzi jf anakuja kulinganisha dar na slums...
Yani namuonea huruma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…