Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninyi pesa zote za kujenga "dams" zimeingia mifukoni mwa wakora, chakula mnategemea kupewa msaada na China na nchi za UAE. Failed state ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hyo miradi ipitishwa na serikali tofaiti na nyinyi...
Tena hyo ishu iliongelewa peupe, sasa nenda kwa jiwe kuhu ile tsh1.5trillion..
Yani ukijichanganya tu unapotezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna swala hamjaligundua bado. sgr yetu hata bila ya majirani itafanya kazi vilevile. tuna biashara za kutosha kuhitaji usafiri wa train to and from kanda za maziwa na DSM.
Tatizo ni nyie ya kwenu haiwezi fanya kazi bila majirani
Hakuna biashara ukafanya Tz ikakataa unless otherwise uifanye kwa mazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumechakaa balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…