Km hawa hapa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Wakenya watashamshangaa huyu mtz kwa sababu mkenya usikitika kurudi Kenya wakati watz wanasikitika kuondoka tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hohohooooo!!!naona imekuingia[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Labda we unioneshe upanga iko wap?? Nioneshe kijitonyama na masaki nioneshe ubungo nioneshe ilala nioneshe mbezi nioneshe another part ya kariakoo to kurasini ahahahahhahaha kazi munayo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna huelewi wewe jomba...mi nishakwambia dar hakuna slums, hzo uswazi ni middle class hko kwenu sasa unawashwa na nn jamani tena[emoji23][emoji23][emoji23]Lini utakuja dar maana kila mkenya aliye post vibali vya kuja Tanzania na kututishia kuonyesha slum akifika tz walipotea awakuleta mlejesho kuna huyu wa juzi aliyekuja akakubali kuwa JNIA ni nzuri kuliko JKIA nilimkumbusha mapema asisahau kuleta picha alizopiga slum yeye mwenyewe hadi keo kimya ,je wakenya siuwa mnasema mnatembea nchi mbalimbali siyo kama sisi watz sasa inamaana wakenya wote walio kuja tz na waliopo Tanzania ni wasaliti hakuna aliye weza kuleta picha za slum? Sasa tunakutaka wewe komora uje dar utuonyeshe picha za slum
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn hii pcha umeing'ang'ania sn kwn ina nnLinganishi na hii sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1292041
Sent using Jamii Forums mobile app
Hau mateja na wahuni pia awajutii kurudi homeKm hawa hapa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1292126
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!yani mijitu mizima yapagawa na sauzi
Uhehehhehe endelea kujipa matumaini sikua kujua kama kuna siku mutalia kilio cha mbwa kokoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hohohooooo!!!naona imekuingia[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
"This is dar"bomuuuuuView attachment 1292129
Sent using Jamii Forums mobile app
CBD imeisha hapoπ€£π€£π€£π€£π€£
Umeleta aerial view yeye alivyo mjinga kaleta kijisehemu cha jengo πππTanga again π€£π€£π€£πππ
View attachment 1292167
Ahahhahah acha ajipe matumaini ulitaka kumueza zaidi mwambie akuletee airport ya kisii π€£π€£Umeleta aerial view yeye alivyo mjinga kaleta kijisehemu cha jengo πππ