Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

F2 ilifungwa in 2009.......i think kadoda posted all of them.......rudi nyuma utapata zote huko
Haya njoo twende kazi kati ya Nairobi na dar mm nakuahidi ntakutoa mavi hapa hutaaminiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Now you signing deals with failed states.....lol.SGR inafika Uganda in 2 years.......Lapsettt hadi Addis Ababa to Cairo
Lapsett ipi hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ embu tulia maana ni kama hujui kitu,

 
Now you signing deals with failed states.....lol.SGR inafika Uganda in 2 years.......Lapsettt hadi Addis Ababa to Cairo
Lapset ilishakufa mbona Djibouti kawashika pabaya sana kwa Ethiopia labda subiri vita iishe Sudan kusiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yani lapset ni another big white elephant hapo ndipo mutakapojua nn maana ya kulipa madeni ya mchinaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Labda ufungue page ya Nairobi vs Tanzania clubs unatuharibia wakati.....Nairobi has 12000 clubs
Nakwambia ukitoka ww mwanaume twende hapa hapa mm na ww dar vs Nairobi kwenye club tena nakupa uchague kati ya dar mwanza au arusha ipi unataka ipambane na nairobiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tell your concubine to get a gym before she gets heart complications please.....
 
Fungua thread uchanganye yote......vs Nairobi. Hizo vijiji unataja hapa ni estates za Nairobi
Nakwambia ukitoka ww mwanaume twende hapa hapa mm na ww dar vs Nairobi kwenye club tena nakupa uchague kati ya dar mwanza au arusha ipi unataka ipambane na nairobi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…