Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787]. Ati 40? Hio 40 mlitoa Wapi ama mkiskia Kenya iko na 40 mnaongeza floors
Y'all witches are out here telling us bullshit but we know the facts😜💀💀
Halafu this World Trade Center building watulize boli, 42 isn't enough naomba iendelee kuwa stalled. We need 100+ floors tena iwe Kigamboni kwenye the proposed international financial district
 
hii World Trade Centre ndo nin au iko wap mkuu?
Ni kituo ambacho kinahudumia biashara za nchi na kuziunganisha na dunia kwa ujumla. Mfano ni yale majengo pacha ya New York yaliyolipuliwa na magaidi September 11, 2001. Naona Dar wanataka kujenga center kama hiyo kama nairobi wanavyojenga yale majengo yao wanaopost kila siku (GTC) ila naona mpango umesimamishwa kwa sasa
 
Majengo yenu hayavutii kabisa yaani ni kama buildings za 90's may be 80's
As far as we are concerned, there's a healthy mix of old and new designs. Always trying to find something to criticize is the truest manifestation of envy.





 
Hata kabla ya express way hawajai leta kitu iko level ya Outerring road, leave alone Thika Road. Watakuambia hakuna BRT na matofali 😂 😂 Mambo ya bara bara wapatie miaka 50 ama zaidi ndio wakuwe na ile tuko nayo kwa sasa. Saizo tutakuwa na shugli zingine kama kujenga Mombasa na Nakuru. In fact hiyo BRT itakuwa Mombasa earlier than Nairobi. Sisi tungoje commuter na light rail.









Ya Nairobi expressway itazika hii yenu,just wait and see,it will be elevated for a distance of 11.5kms,,and 15.5 km grounded🔥🔥
 
Jidanganye wewe subili mwakani utajua ujui ndiyo maana sikuizi wakenya mbwembwe za kutukuza kingereza zimepungua sana siyo kama miaka 8 iliyopita ,baada ya kuona wabongo tunapambana na kiswahili chetu bila kujali MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…