Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona cladding inaendelea!
 
ndinda the mkamba lady is going nuts nowadays...she started very well but lost it.Kenyan stations are the most beautiful in Africa currently.........

Hii inaitwa verbal diarrhea , unadandia tu, Kuna eneo nimetaja Kenyan stations? Msome na kuelewa kwanza. What a loss .
 
Good. then siku nyingine Usiongee kuhusuu uchumi wa kenya coz n dhahiri kwamba hamjui lolote kuhusu Kenya na uchumi wake
hapo nimeongea mimi kama mimi sio sisi, ndio maana kila mtu anasema wewe kichwa bovu. kutokujua kwangu kwa baadhi ya information huwezi kujumuisha wengine
 
Mo dewji sio mhindi ni mtanzania by birth,hata huyo bakhresa ni mtz,hustle zake zimeanzia pale kariakoo
Kwa nini unashindwa kutofautisha nationality na asili!?..ulisoma shule gani we dogo?
Mhindi siku hz kawa msukuma[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hivyo hao watu mnaowaita hapa "wahindi" dunia haijui ni wakenya? Vimal Shah was born in Nyeri, Naushad Merali was born in Nairobi. I can give you a very long list. Ila leo wamegeuka wahindi wanaomiliki uchumi wa Kenya. Nyinyi ni wajinga tu
Leo umewashika pabaya[emoji1787][emoji1787]
 
Mo dewji sio mhindi ni mtanzania by birth,hata huyo bakhresa ni mtz,hustle zake zimeanzia pale kariakoo
Kwa nini unashindwa kutofautisha nationality na asili!?..ulisoma shule gani we dogo?
bila shaka ni kibera university. huyo...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
tisha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…