Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeongea kama a typical Tanzanian kabisa, people who never take time to think before talking. Unasema mnajenga Dodoma and at the same time talking about Konza city. Are you building Dodoma from scratch like we do with Konza city? Mkipata uhuru, was Dodoma not in existence? Kenya ikipata Uhuru, kulukiwa na kitu inaitwa Tatu City ama Konza city? Dodoma is a town that has been in existence for more than fifty years so it's even funny how you say you are building it and making comparisons with konza, an idea that was crafted just a few years ago! Are you insane??
 
Dodoma ni takataka ya kuongelea pia.....smh.some villagish centre
 
Nyie mna unyani mwingi sana yaani unaona raha kuishi hostel....!!
Kama hizo zenye ziko masaki, Tanzania's best estate!!! Standards zenu ziko down kinyama. Alafu mnaoiga kelele hapa Usiku na mchana!
 
Wewe lofa kweli.. tatizo video zinatupiwa humu una bana bana vi MB vyako unashindwa kuzifungua. Nakupa mfano wa karibuni hiyo video ya Msalato International Airport umeifungua!? Je hiyo ni building from scrach au ni expansion? Wizara, taasisi za serikali zote zimejenga ofisi mpya. Nyumba za maofisa, mabarabara, ukiwa humu uwe unafungua links uelimike acha ubahiri! Matokeo yake unaongea utumbo. Ulianzishwa uzi wa Dodoma, kautafute then ukae kimya.
 
Lol.......however. Tanzanians are naturally slow........kenyans grow the economy because of our go getting nature.......we don't have much resources but don't be mistaken.
Sisi ni wale wabaya..........we don't wait for government on everything the way tanzanians do.It explains where Kenya is at now.....not perfect but somewhere good
 
What's the need of building an airport in some village like setup.........why not improve the living conditions of the people around arusha....hii africa tuna vituko
 
Dodoma unayosikia inajengwa ni Dodoma government city na sio old Dodoma

Government city inajengwa from the scratch
Dodoma government city ndio gani hio? Kwa hivyo kuna Dodoma mbili Tanzania?
 
What's the need of building an airport in some village like setup.........why not improve the living conditions of the people around arusha....hii africa tuna vituko
Is that your best stroke? Rudi kwa keja yako Korogocho ujipange upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…